Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Sina shaka na ahadi zako,na 2025 tunaenda na wewe,Jimbo unachukua Tena! campaign manager Lamomy atahakikisha unashindwa kwa kishindo
:KasugaYeah:asanti sana Mama, kwa wishes zako njema na za baraka sana kwangu, dhidi ya ndoto, matarajio na matamanio yangu ya kisiasa kwa mwaka ujao wa uchaguz mkuu2025. Kwa Neema na Baraka za Mungu, na ikawe kama ulivyo nena:NoGodNo:
 
If God is with you who can be against you,?may God grants you double favor,grace upon grace be with you,May the Lion of Judah be your guarantor ❤️
 
Back
Top Bottom