cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikutajie mke mwenzio au nikaushe??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikutajie mke mwenzio au nikaushe??
Astakaaaa.......!!?Ww siumesema ety Kigi ana watoto mapacha saba na kila mmja na mama ake.
Alafu ety ana mkono mfupi.
Kiufupi dish lako Lina yumba Sana😂, halafu acha tusi zako kaka🤣Napatikana dunia nzima,
Acha kujaza thread ya ladies kijana, utanukia pheromones yao .😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna wa kutuchamba humu ww tulia!! Zama zao zimeisha ss hivi utawala mpya hutaki ndio hivyo, unataka ndio hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mume tunaye na tunatamba naye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena mkutane sebuleni mdundaneee.Mnamchokoza shangazi wa watu
Mnamfosi atoke chumbani [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimechekaa had machoziiiii!!!Wee asikudanganye mtu!! Km kweli una demu humu na hajakutaja anakuficha km bangi ujue hapo hakuna mapenzi na mpo kijiji uko pm au ana id nyingine ya kuwapanga foleni.!! Hili liko wazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi unajua utamu wa kupenda wewe?? Ukimpenda mtu utatamani kila sehemu umuweke bango uonyeshe raia unavyopenda.!! Ww huyo timua anakumalizia vihela vyako uko piemuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza ukitajwa inaongeza na kurudisha nguvu za kiume, huoni wenzio wanaamua kuwaita mademu zao wawataje [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja aje kama hamjaambiwa mmeachwa na hamtaki kukubali ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee unamuitaa Selemaniiii? Sema kweliiiAtakuja
Kuwaita wanafki na waizi
Mnaenda kumchekea Selemani wake PM
[emoji1787][emoji1787]
Hehe..PM Iko wazi.Uko wapi nikufuate,
Niambie nipajue,
Angalau nikuone,
Roho yangu itulie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopiiii?Shem ile kichwa ni mbovu
Ngoj tujaribu uku
Usimuoneshe basi[emoji28][emoji28]
Mna habarii gani tenaa jamaniii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Nkamu nakuangalia halafu nacheka
Habari nilizonazo ungezijua,ungetamani uniwao pm kuziomba
Hii itakua Ilula, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chuma inasomeka kilolo au kihesa
🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakujua hukoseagi 🤣🤣🤣🤣Ntaudodesha uzi wake wa malalamiko fc 😂😂😂😂
Wachawi wengi humu 😀😀😀Equation x nimefika hapa kituo cha bus mbona simu yako haipatikani😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭.
Na huku Dasalamu mim mgeni 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nishanyeshewa na mvua acha tu.Wachawi wengi humu 😀😀😀
Iko wazi karibu sana 💃💃💃💃💃Hehe..PM Iko wazi.
Eeeh ndo hivo ety unawatoto hadi wa majiraniAstakaaaa.......!!?
Mwenyewe ndo nashangaa hapo thatha.Demu gani wa kukuzidi humu?