Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Endelea tu kukaa hapa, ila sikushangai maana mwanaume ni kama beberu na kinachokuvuta hapa "pheromone " ya binti yuleeeee.Kiufupi dish lako Lina yumba Sanaš, halafu acha tusi zako kakaš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea tu kukaa hapa, ila sikushangai maana mwanaume ni kama beberu na kinachokuvuta hapa "pheromone " ya binti yuleeeee.Kiufupi dish lako Lina yumba Sanaš, halafu acha tusi zako kakaš¤£
Za wokovu wa Kristo šMna habarii gani tenaa jamaniii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ni watu wasiolitakia mema penzi letuEeeh ndo hivo ety unawatoto hadi wa majirani
Hawa itabid niwapuuze tu.Hao ni watu wasiolitakia mema penzi letu
Ewaaaaaah! wewe nisikilize mimi peke yangu, maneno ya watu achana nayo š¤£š¤£Hawa itabid niwapuuze tu.
Penzi letu lianze upyaaa.
Sawa nakusikiliza ww tu maneno ya watu sitak tenaEwaaaaaah! wewe nisikilize mimi peke yangu, maneno ya watu achana nayo š¤£š¤£
Naona ni muda wa utekelezaji wa ilani, si unaona wengine woote wametulia, nasi tuingie mzigoniSawa nakusikiliza ww tu maneno ya watu sitak tena
Sawa nakusikiliza ww tuNaona ni muda wa utekelezaji wa ilani, si unaona wengine woote wametulia, nasi tuingie mzigoni
tukutane kulekule...Sawa nakusikiliza ww tu
Kule tumekutana juzitukutane kulekule...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuuu!!!!Za wokovu wa Kristo [emoji23]
Naomba pepo chafu zitoke kichwani mwako.Endelea tu kukaa hapa, ila sikushangai maana mwanaume ni kama beberu na kinachokuvuta hapa "pheromone " ya binti yuleeeee.
Umeshamtahadharishaš¤£Naona na yeye kaanza kumnyapiašš
š¤£š¤£Hujakoma tuUsinambie mmerudiana š¤£š¤£š¤£
Ntaeka wapi sura yangu ninavyomchambaga equation mimi?? šššš
š¤£Uzi uko masafa ya mbali
Afu we Depal.... š„°š„°š„°Mnamchokoza shangazi wa watu
Mnamfosi atoke chumbani šš
Mzee wa heart break, wame kuvunja Moyo tena šš¤£Mods fungeni hii thread haraka iwezekanavyo.
intel mamboNaomba pepo chafu zitoke kichwani mwako.
Bibi naomba uwasamehe akina Lamomy hawajui walitendaloHalafu nikute nyie akina mjukuu mmejichanganya mmtaje padre, mtajuta kuzaliwa