Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimechekaa had machoziiiii!!!
Raha ya mapenzi muwe wazi, kila mtu atambue hilo.
Na kwann ufichwe km utumbo bana.!!
Naona umeachiwa selfika naomba unisubiri na mimi niachiwe ili nile ubuyu kwa raha 😂😂😂😂
 
Acha unafki kumnanga shemeji ako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ningekua mnafikii hata Selemani msingelitaja hapa.

Afu mbona mie unafikii siuweziii? Ila kwenye shemeji unanionea De.

Wee c ndo bamsapu wako lakiniii, had kuwekana avatar same, mlipendezana wenyeweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom