Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee udugu em niwacheee kumbe na avatar mfanano zilikuwepo?? Bi mdogo ana hekaheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, bi mdogo alijua kumrusha roho shangazii,
Nakuambiajee, avatar za mahaba, mahug makiss, yaan wanaweka same.

Ulichelewa wapiii weyeeee?? Mr miongozoo anajua kuchachafya masuria yake.
Yaan Hakuna kupumua, sasa bi mdogo huyu akawa na rafk ake na mwenzie tena, mara ikasemekana wote kawapitia, had huyo mwingne alitafutiwa kazi yeye na dadake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

JF sihamiiiiiiii
 
Weee!! Usinambie kwahiyo mashoga wakageukana?? Wakanyakuliana danga 🤣🤣🤣
Sasa kazi mpk leo anafanya aliyomtafutia miongozo?? Humu kumbe kuna ajira za pichu zinatolewa udugu!! 🤣🤣🤣
 
Wewe anzisha interview, mbona hii session ipogi Humu😁.
Note: pacha USI anzishe vita ya maji maji 🤣
Nataka iwe ya kisasa zaidi nipate wadhamini ili memba atakayehojiwa apate hata hela ya soda ili afunguke bila kona kona 😂😂😂

Na nataka wale mastar humu ndo nianze nao, wenye kashikashi zao.!!
 
Back
Top Bottom