Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣 sasa nidelete nini hapo?Em delete kwanza
Sitaki kuwa banned
Af tuendelee 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 sasa nidelete nini hapo?Em delete kwanza
Sitaki kuwa banned
Af tuendelee 🤣🤣
Tulia upendwe na wizo wewe 😂😂😂Love in jf isn't for everybody 😆 😂
Ushahidi wa comment 😒🤣🤣🤣 sasa nidelete nini hapo?
Comment ipi? Hebu onyesha nifuteUshahidi wa comment 😒
😂😂 dah!Comment ipi? Hebu onyesha nifute
Dunia uwanja wa fujoMahali ambapo hata hujui jinsia za watu utaanzaje
Au vigezo michango tu
Aisee shetani ana force urafiki😂🤣😂😂😂😂 Wizo ana mkanda wa karate hakuna tatizo atakutuliza
atafute type yake😂Tulia upendwe na wizo wewe 😂😂😂
🤣🤣Kukoma mpk nikifa labda 😂😂😂
Changanyikeni 😄Dunia uwanja wa fujo
Kweli siijui em nitag nifute 😂😂😂😂😂😂😂 dah!
🤣🤣🤣🤣Aisee shetani ana force urafiki😂🤣
Type yake si wewe?? Kwani ww sio mwanaume?? 😂😂😂atafute type yake😂
Wengi wanawapenda JF Moderators, sasa wanaogopa sema wasipigwe ban.Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa make sure una-show love ❤️ unaweza kumpata mke wa maisha yako.
Wa kwangu mtamkuta kwenye comment, haya ladies on the stage show love kwa kidume kinachoumiza feelings zako
Mimi mwanaume ndio, ila siafiki ushetani huo🤣Type yake si wewe?? Kwani ww sio mwanaume?? 😂😂😂
Jf ni kubwa, atazame wa style yake 🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli siijui em nitag nifute 😂😂😂😂😂
Wana sema jf ina wenyewe 😆Changanyikeni 😄
Hapa naona kuna walengwa