Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ulikuwa hata ushavunja ungo kweli wewe Ana?? 🤣

Hapo ndo ujue there’s nothing new under the sun and nothing old under the moon!
Nahisi ndio nilikuwa naelekea.
2010 chaaa!😂😂😂😂

Wengine hata simu hatuna,
Ila leo tupo tunabishana na watu ambao tangu 2010 wapo jf tayari.
 
Nahisi ndio nilikuwa naelekea.
2010 chaaa!😂😂😂😂

Wengine hata simu hatuna,
Ila leo tupo tunabishana na watu ambao tangu 2010 wapo jf tayari.
Yaani 2010 unaona ni zamani?

Hapo JF tayari ilikuwa na miaka 4!

Nyenzi.com ilianza miaka 95/96 na watu tulikuwepo huko 🤣.

Some of us are the OGs of this shit.

Y’all better put respect on our names 🤣.

Nyie hata adventures za Mzee Mwanakijiji na Chiku hamzijui….

Da Chiku sijui yupo humu….daah.
 
Yaani 2010 unaona ni zamani?

Hapo JF tayari ilikuwa na miaka 4!

Nyenzi.com ilianza miaka 95/96 na watu tulikuwepo huko [emoji1787].

Some of are the OGs of this shit.

Y’all better put respect on our names [emoji1787].

Nyie hata adventures za Mzee Mwanakijiji na Chiku hamzijui….

Da Chiku sijui yupo humu….daah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2010 siyo zamani?
Huyu Mzee mwanakijijj naona ona ID yake,Chiku simjui.

Hee! 96??
Umenidanganya hapa

Kwani Ngabu umezaliwa mwaka gani?
Nilinganishe na miaka yangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2010 siyo zamani?
Huyu Mzee mwanakijijj naona ona ID yake,Chiku simjui.

Hee! 96??
Umenidanganya hapa

Kwani Ngabu umezaliwa mwaka gani?
Nilinganishe na miaka yangu.
Hahahaaaa waulize majasusi wa JF walionizaa. Wanacho cheti changu za kuzaliwa 🤣.
 
Yaani 2010 unaona ni zamani?

Hapo JF tayari ilikuwa na miaka 4!

Nyenzi.com ilianza miaka 95/96 na watu tulikuwepo huko 🤣.

Some of are the OGs of this shit.

Y’all better put respect on our names 🤣.

Nyie hata adventures za Mzee Mwanakijiji na Chiku hamzijui….

Da Chiku sijui yupo humu….daah.
Aisee..watu wasije kuanza ku google....tumetoka mbali
 
Nani huyo ana cheti chako nikachungulie?😆
Kwahiyo Ngabu 2010 tayari ulikuwa Marekani?
Hahahaa!

Mimi siku zote nipo Ikungulyabashashi, Simiyu.

IMG_5226.jpeg
 
Kabisa!

Ndo maana nimepunguza ku engage na IDs mpya.

Nimeounguza ushiriki wangu JF.

Maana hakuna jipya.

Mfano hii mada, wengine tulishaianzisha hapa miaka 14 iliyopita.
Sawa sawa Mkuu usemalo ..mie nimekua makini mno maana unaeza chit chat na Binti yako au na binti wa mzee mwenzio

Katika Mada ndio kabisa yaani kuna muda unajiuliza au hii mada mtu wa zamani kaamua kuirudia kimipango au ?

Ki zoefu unaamua kupita tu
 
Weee!! Usinambie kwahiyo mashoga wakageukana?? Wakanyakuliana danga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kazi mpk leo anafanya aliyomtafutia miongozo?? Humu kumbe kuna ajira za pichu zinatolewa udugu!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni full tafraniii, wengine walikua wana train Gym sehem 1, yaan ni full heka heka.
 
Back
Top Bottom