cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka iwe ya kisasa zaidi nipate wadhamini ili memba atakayehojiwa apate hata hela ya soda ili afunguke bila kona kona [emoji23][emoji23][emoji23]
Na nataka wale mastar humu ndo nianze nao, wenye kashikashi zao.!!