Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Na kweli kama CCM etiWana sema jf ina wenyewe 😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli kama CCM etiWana sema jf ina wenyewe 😆
Ok, nafuta si ile ya kufunguka kwenye kipindi??Nilichokukwoti
Nawe ukakwoti
Mambo ya Sele
Ndio banaOk, nafuta si ile ya kufunguka kwenye kipindi??
Nyie nta piga makelele, halafu Wao Wana jijatia keki Yao 🤣😆Na kweli kama CCM eti
Tyr lkn mbona wewe hujafuta sasa?? 😜Ndio bana
Active alishakataza hiyo mijadala
Tyr lkn mbona wewe hujafuta sasa?? 😜
Ipo mi nimeona bana 😂😂😂Weee! Hapana, nimefuta pia.
Shangazi tumpe kamati ya vitambaa vya mapambo madhabahuni😂😂😂😂 Tunataka tuanze kutafuta waumini waje kuokoka
😂😂😂😂 Shangazi wa mtukula hiko kipengele anafit kabisaa.!! Kanisa litametameta sana mana naye ni mkali wa vitambaaShangazi tumpe kamati ya vitambaa vya mapambo madhabahuni
Yupo vizuri
NshafikaNgoja kubwa la manusu aje😁🤣
Ooh barabara mbayaNyie nta piga makelele, halafu Wao Wana jijatia keki Yao 🤣😆
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Shangazi wa mtukula hiko kipengele anafit kabisaa.!! Kanisa litametameta sana mana naye ni mkali wa vitambaa
Aisee hiyo type error nilio andika ni ya kimataifa 😆Ooh barabara mbaya
HeeWeee! Hapana, nimefuta pia.
Si upo town mwisho wa reliIkawa usiku ikawa mchana, Vinci bado hajatajwa
Ila we binti 🤣🤣Hee
Hii! Sijaona
Hebu rudisheni kwanza mlichofuta
Oh wow! Like, FrFr?Navutiwa na Nyani Ngabu iki kiumbe kinatembea na moyo wangu [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji18]
Hebu rudieni jamani chaaaa 😂😂Ila we binti 🤣🤣
Miaka 14 iliyopitaOh wow! Like, FrFr?
Nevertheless, thank you ever so much!
I never thought anybody would ever look or think of me like that because I’m a good for nothing old geezer, loser, and broke as hell.
Again, thank you ever so very much 🙏.
Ila huu uzi ni marudio tu. Miaka 14 iliyopita tuliyajadili hayo….
Ungependa kutoka na nani hapa JF....
Tukizungumzia kinadharia (au hata kikweli kweli), je hapa JF ni nani ambaye unaona ungeweza kutoka naye kama mtu na rafiki yake wa kimapenzi? Ni mwanachama yupi ambaye unaona au kudhani unaendana naye kiasi cha kama ungeweza au ingewezekana, ungependa kutoka naye? Hii mada ni kwa wote...akina...www.jamiiforums.com
Ulikuwa hata ushavunja ungo kweli wewe Ana?? 🤣Miaka 14 iliyopita
Sijui nilikuwa wapi 😂😂😂😂
Aiseee!