Fine Wine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 595
- 1,686
- Thread starter
- #81
Sawa muite huyo lamomy muwataje wanaume wanaowavutiaJamiiforums wanawake tupo wawili tu mimi na Lamomy
Wengine wote midume yenye majina ya kike na ya kiume.
Jichanganye usukumiwe hogo la kimkakati na GENTAMYCINE