Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ukija Mwanza ww nitag Tu nakutumia chimbo fasta ani.
Natamani ata kesho nije huko, ila kuna wifi yako hapa amenikamata mbaya, ukichangia na shepu yake ndio nachanganikiwa kabisa....
dss.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas, afu acha masifaaa ujue?
Watu tuna sehemu tumewekeza furaha na maishaa!!

Wee unawezaa kunibebaa mazimaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashindwa nn sasa
Unakula dhahabu?
 
Back
Top Bottom