Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Hahahah we ni wa kuogopwa kumbe
 
Kuna Ile mwanaume anapambana ila mambo hayakai sawa....na unakuta tayari mnaishi pamoja au kitu kama hicho....
Ila Kuna wale kazi Yao kuvaa kobas za mpira na soksi nyeupe aaaaa maisha nikimuona naita polisi
Bora yako umesema ukweli mtupu, muda mwingine tunatingwa balaa unakaza wee kwenye maisha lakini mambo hayaendi..
 
Hata niwe na hela kiasi gani siwezi kumwaga hela kwa mwanaume wakati sex toys zipo
Haujakunwa vizuri wewe hizo toys haziwezi kuwa kama kitu halisi umeshawahi kuchezea dudu mpaka koo linakauka unaomba maji ua unazima kabisa ukitoka hapo unamwangalia mjomba aliyekushughulikia unabaki na aibu za kike zile
 
Mdogo wangu si uliaga πŸ˜…πŸ˜…
 
Kamwe nikiwa hapa duniani haitotokea kilashare one bed na kitoto cha kiume ninachokizidi umri labda kwa sharti moja tu.

Sauti itoke mbinguni ilinitaka nilala na kitoto ninacho kizidi umri baba yangu afufuke hapo nitatembea kwa magoti nikitafute mimi mwenyewe.

Hata hivyo ni ngumu mwanaume awe mkubwa kula pesa yangu.kama nina mpenda basi namnunulia zawadi tu pesa yangu noooooooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…