Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Aunt akifanyiwa hivyo anajiona yupo Ibiza,akiombwa paundi 500 ,anatoa paundi 1000.
We tena umemweka mbuzi kagoma tunaanziaga mbususu uku unapanda juu utasikia wewe unafanya Nini unamjibu kwani haupendi ukiendelea anaanza kunena Kwa lugha ka yupo Kwa mwamposa basi mkishamaliza show utaona muamala huo baby utanunua vocha [emoji28][emoji28]
 
Yaani nilibaki mdomo wazi,kwa mwezi unamtumia mwanaume Paundi 5000 +?Huyu msukuma itakuwa alikuwa anajituma sana,alikuwa anapiga sana deki kwa bibi.View attachment 2648386
Aisee mapenzi yana nguvu 😅,mimi nina aunt yangu yupo huko hana majukumu makubwa alisoma akapata kazi ni nurse watoto wa kaka ake walimuomba paundi 80 waende funcity aligoma aisee na hapo hajawahi hata siku moja kuwa tumia ata zawadi maana huwa haji kutembelea nyumbani kwao .sasa siku moja enzi zile za team wema nikamkuta huko anamsifia wema na michango anatuma .
 
Yaani mimi kutumia tu hela yangu kwa matumizi yangu naona naumia.

Je, Kwa kumtafutia viza, kumsafirisha mpaka London mtoto wa mama mkwe, kufunga nae harusi, kumlea na kumsomeshea mwanae uliyemkuta nae kwa pesa yako..... eeeh watu kuweza.

Sometimes naona hata sio suala la uzuri au age imeenda yaani Kuna kitu naona kama kimekua trend huu moyo wanawake wenzetu wanautoa wapi? Umchukue tu kijana umleee? In exchange of what?

Watu wanamsema mbuta nanga oooh age imeenda hana uzuri embu niambieni tu hii list ya macelebs;
1. Zari
2. Shishi
3.Aunt Ezekiel
4. Rihama Ally (Sina uhakika na jina
5. Sepetu
6. Uwoya na mtoto wa Jack Pemba, Dogo janja
7. Wolper

Hawa ni wazuri na bado umri uko vizuri wanapata nini Kwa hawa Mariooo
na huu moyo wa kipekee wa kulea hawa viumbe wanautoa wapi?
👌
 
Back
Top Bottom