Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Yaani mimi kutumia tu hela yangu kwa matumizi yangu naona naumia.

Je, Kwa kumtafutia viza, kumsafirisha mpaka London mtoto wa mama mkwe, kufunga nae harusi, kumlea na kumsomeshea mwanae uliyemkuta nae kwa pesa yako..... eeeh watu kuweza.

Sometimes naona hata sio suala la uzuri au age imeenda yaani Kuna kitu naona kama kimekua trend huu moyo wanawake wenzetu wanautoa wapi? Umchukue tu kijana umleee? In exchange of what?

Watu wanamsema mbuta nanga oooh age imeenda hana uzuri embu niambieni tu hii list ya macelebs;
1. Zari
2. Shishi
3.Aunt Ezekiel
4. Rihama Ally (Sina uhakika na jina
5. Sepetu
6. Uwoya na mtoto wa Jack Pemba, Dogo janja
7. Wolper

Hawa ni wazuri na bado umri uko vizuri wanapata nini Kwa hawa Mariooo
na huu moyo wa kipekee wa kulea hawa viumbe wanautoa wapi?
Huwezi jua mkuu kama walikukata ki**mi..
 
Yaani nilibaki mdomo wazi,kwa mwezi unamtumia mwanaume Paundi 5000 +?Huyu msukuma itakuwa alikuwa anajituma sana,alikuwa anapiga sana deki kwa bibi.View attachment 2648386
Naona alikua ananyonya Kila sehem inayofikika Kwa binaadam maana kama ni kujituma zipo chaliii zinapiga mzigo ila hazipati hichi kiwango
 
Yaani mimi kutumia tu hela yangu kwa matumizi yangu naona naumia.

Je, Kwa kumtafutia viza, kumsafirisha mpaka London mtoto wa mama mkwe, kufunga nae harusi, kumlea na kumsomeshea mwanae uliyemkuta nae kwa pesa yako..... eeeh watu kuweza.

Sometimes naona hata sio suala la uzuri au age imeenda yaani Kuna kitu naona kama kimekua trend huu moyo wanawake wenzetu wanautoa wapi? Umchukue tu kijana umleee? In exchange of what?

Watu wanamsema mbuta nanga oooh age imeenda hana uzuri embu niambieni tu hii list ya macelebs;
1. Zari
2. Shishi
3.Aunt Ezekiel
4. Rihama Ally (Sina uhakika na jina
5. Sepetu
6. Uwoya na mtoto wa Jack Pemba, Dogo janja
7. Wolper

Hawa ni wazuri na bado umri uko vizuri wanapata nini Kwa hawa Mariooo
na huu moyo wa kipekee wa kulea hawa viumbe wanautoa wapi?
Wanachokipata ni kukojozwa madam!!
 
Faida ya Mario ni kuwa unaruhusiwa kudanga. Hata akitaka kuleta danga lake ndani
 
Back
Top Bottom