Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha daahKabila.. kwani mnatakaga kumtoa mtu kafara au?
UmenikumbushaKabila.. kwani mnatakaga kumtoa mtu kafara au?
Vipo sana… ni nadra kukosekana.Sema mie wa ajabu kinyama
Nimetumia kama dakika 3 hivi kufikiria ni kitu gani sipendi kuulizwa....sijapata jibu
Enwei,ladies wanakuja
Joanah, unapenda kula chakula gani?Sema mie wa ajabu kinyama
Nimetumia kama dakika 3 hivi kufikiria ni kitu gani sipendi kuulizwa....sijapata jibu
Enwei,ladies wanakuja
Unaona kumbe unavyo ila ulisahau 🤣🤣🤣Umenikumbusha
Hili la kuulizana kabila sipendi aseee!
Mtu akiniuliza kabila namuona mshamba kweli yani
Nimekumbuka moja la kabilaVipo sana… ni nadra kukosekana.
Mtu anaweza kukuuliza kitu, we mwenyewe ukabaki unamshangaa, au ukaona ni too personal.
HahaVipo sana… ni nadra kukosekana.
Mtu anaweza kukuuliza kitu, we mwenyewe ukabaki unamshangaa, au ukaona ni too personal.
Hahah.Hata chakula sikumbuki nachokipenda...huwa nakula ili nisife tu
Hahah.
Ukimjibu hivyo unamkata moto. Mtuhurumie wanaume ahhah
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Ukimwambia mfano we ni mkurya.Unaona kumbe unavyo ila ulisahau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
What are you doing for life?What are you doing for life.
Umbea tu. Mtu akiuliza hivyo namshusha graph.