Ladies, tofauti na kuulizwa umri ni maswali gani mengine hampendi kuulizwa?

Ladies, tofauti na kuulizwa umri ni maswali gani mengine hampendi kuulizwa?

Kwani kuna shida gani Jo mtu kujua kabila, imani, misimamo yako n.k?

Inaweza sound too personal but if asked in a right way sioni shida, na vitu kama kabila, dini etc ni kama identity tu ya mtu...

Shida haipo ila sipendi
 
Kwani kuna shida gani Jo mtu kujua kabila, imani, misimamo yako n.k?

Inaweza sound too personal but if asked in a right way sioni shida, na vitu kama kabila, dini etc ni kama identity tu ya mtu...
Hawezi kutopenda bila sababu. Atakuwa na shida kwenye hilo au liliwahi kumletea shida wakati fulani. Kama haikupi shida huwezi kuchukia kuulizwa. Mf kuna mitizamo hasi na wanawake wa kimachame kwenye ndoa kwamba wanaua wanaume au kutaka kuwa kichwa cha familia. Sasa mtu kama huyo kama hiyo myth imewahi kumghalimu lazima achukie
 
Pole pia kwa mashaka
Binadam yoyote ili aishi lazima awe na source ya income na kama hana lazima ategemee source ya mtu mwingine iwe wazazi,walezi,bwana e.t.c.Sasa kuna source zingine ni ngum kuzitamka.
 
Binadam yoyote ili aishi lazima awe na source ya income na kama hana lazima ategemee source ya mtu mwingine iwe wazazi,walezi,bwana e.t.c.Sasa kuna source zingine ni ngum kuzitamka.
Kwa kifupi jitahidi sana kwenye hizo intro qns zako ubase na vile ambavyo yeye pia anakuuliza. Ikiwa tofauti kuna namna utaonekana niaje..

Ok, nikishakijibu ni mwajiriwa? Inakusaidia nini? Kwanini usiache some issues uendelee kuzijua taratibu, zenyewe zitakuwa zinajichanua?
Mf. Umempigia, anakujibu niko occupied kidogo nitakurudia after 1hr or 30mins. Hapo baadae ndio unaweza endelea kuchomekea alikuwa busy na nn na bla bla.

Sio mwanzo mwanzo tu unakurupuka kumuuliza mtu hilo swali.
Anyways sjui we unalionaje, ila kwa upande wangu hiko hivyo.
 
Back
Top Bottom