Ladies, tofauti na kuulizwa umri ni maswali gani mengine hampendi kuulizwa?

Ladies, tofauti na kuulizwa umri ni maswali gani mengine hampendi kuulizwa?

Sio poa lakini linajibika
Kwangu sio swali ambalo naweza kusema silipendi
Niliwahi kuuliza hili swali,jibu lake ilibidi nimkatae kimya kimya. Eti mhindi mmoja,msomali mmoja na wazungu wawili,waafrika hata sikumbuki idadi !.
 
Wanapenda uongo ndio maana hawapendi maswali.

Mtu yuko above 30 halafu uulize umri si kutafuta jitusi hapo hapo
 
Umenikumbusha

Hili la kuulizana kabila sipendi aseee!
Mtu akiniuliza kabila namuona mshamba kweli yani

Kwani kuna shida gani Jo mtu kujua kabila, imani, misimamo yako n.k?

Inaweza sound too personal but if asked in a right way sioni shida, na vitu kama kabila, dini etc ni kama identity tu ya mtu...
 
Back
Top Bottom