Ladies, tofauti na kuulizwa umri ni maswali gani mengine hampendi kuulizwa?

Vipo sana… ni nadra kukosekana.
Mtu anaweza kukuuliza kitu, we mwenyewe ukabaki unamshangaa, au ukaona ni too personal.
Haha

Some quiz can be harsh..

Muda mwingine unakuta mshikaji yuko nervous.

Mwingine hana jipya so anaanza kuokota vimaswali ambavyo hata yeye anajishtukia hahah

Mwingine he is just harsh

Mwingine is not charming.

Mwingine ni mshamba.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mnakuwga na uwongo wa kibwege!, kama una mtoto sema, kama una bwana sema, kama uliolewa na sasa mmetengana sema....maana huko mbeleni huu uwongo utakuja kuleta ufa wakati mahusiano yamefikia hatua kubwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…