umewahi kudate na wanaume wangap? ...... hili nalo huwa unaona poa kuulizwa????Sema mie wa ajabu kinyama
Nimetumia kama dakika 3 hivi kufikiria ni kitu gani sipendi kuulizwa....sijapata jibu
Enwei,ladies wanakuja
umewahi kudate na wanaume wangap? ...... hili nalo huwa unaona poa kuulizwa????
We kabila gan?Kabila.. kwani mnatakaga kumtoa mtu kafara au?
Niliwahi kuuliza hili swali,jibu lake ilibidi nimkatae kimya kimya. Eti mhindi mmoja,msomali mmoja na wazungu wawili,waafrika hata sikumbuki idadi !.Sio poa lakini linajibika
Kwangu sio swali ambalo naweza kusema silipendi
Mkaskazini π€£We kabila gan?
So what are you doing for life?What are you doing for life.
Umbea tu. Mtu akiuliza hivyo namshusha graph.
So wewe ni kabila gani?Umenikumbusha
Hili la kuulizana kabila sipendi aseee!
Mtu akiniuliza kabila namuona mshamba kweli yani
NothingSo what are you doing for life?
Unaona wanavyokuwa wapuuzi π€£π€£π€£Ukimwambia mfano we ni mkurya.
Anaanza kusema eti hivi kwanini wanawake wa kikurya wanafurahi kupigwa na wanaume zao?
Haha
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
What are you doing for life.
Umbea tu. Mtu akiuliza hivyo namshusha graph.
Aikoooh We ni mtoto mbona mimi hakuniuliza? π€£ π€£ π€£ π€£Kabila.. kwani mnatakaga kumtoa mtu kafara au?
Nitakuuliza tuu mi huwa sivungiWhat are you doing for life.
Umbea tu. Mtu akiuliza hivyo namshusha graph.
kwahiyo nikae kusikiliza wewe tu halaf mi ndio nifuatishe..ππ.Niulize ninachokuuliza.. ukienda nje sana unakuwa huna tofauti na mmbea
We ndio mwamba sasaSema mie wa ajabu kinyama
Nimetumia kama dakika 3 hivi kufikiria ni kitu gani sipendi kuulizwa....sijapata jibu
Enwei,ladies wanakuja
Jipe tu umuhimu πAikoooh We ni mtoto mbona mimi hakuniuliza? π€£ π€£ π€£ π€£
Vyovyote vile itakavyokuwa π€£ jitahidi kutokutoka nje ya mwenzako anachokuuliza.kwahiyo nikae kusikiliza wewe tu halaf mi ndio nifuatishe..ππ.
Sasa nyie mtakua na tofaut gani na mbuzi 2 zinazotegeana kupandana
Umenikumbusha
Hili la kuulizana kabila sipendi aseee!
Mtu akiniuliza kabila namuona mshamba kweli yani