Kwani kuna shida gani Jo mtu kujua kabila, imani, misimamo yako n.k?
Inaweza sound too personal but if asked in a right way sioni shida, na vitu kama kabila, dini etc ni kama identity tu ya mtu...
Hawezi kutopenda bila sababu. Atakuwa na shida kwenye hilo au liliwahi kumletea shida wakati fulani. Kama haikupi shida huwezi kuchukia kuulizwa. Mf kuna mitizamo hasi na wanawake wa kimachame kwenye ndoa kwamba wanaua wanaume au kutaka kuwa kichwa cha familia. Sasa mtu kama huyo kama hiyo myth imewahi kumghalimu lazima achukieKwani kuna shida gani Jo mtu kujua kabila, imani, misimamo yako n.k?
Inaweza sound too personal but if asked in a right way sioni shida, na vitu kama kabila, dini etc ni kama identity tu ya mtu...
Mwanamke asipojibu ili swali vzr naanza kuwa na mashaka nae,especial kama anajitegemeaWhat are you doing for life.
Umbea tu. Mtu akiuliza hivyo namshusha graph.
Pole pia kwa mashakaMwanamke asipojibu ili swali vzr naanza kuwa na mashaka nae,especial kama anajitegemea
Binadam yoyote ili aishi lazima awe na source ya income na kama hana lazima ategemee source ya mtu mwingine iwe wazazi,walezi,bwana e.t.c.Sasa kuna source zingine ni ngum kuzitamka.Pole pia kwa mashaka
Kwa kifupi jitahidi sana kwenye hizo intro qns zako ubase na vile ambavyo yeye pia anakuuliza. Ikiwa tofauti kuna namna utaonekana niaje..Binadam yoyote ili aishi lazima awe na source ya income na kama hana lazima ategemee source ya mtu mwingine iwe wazazi,walezi,bwana e.t.c.Sasa kuna source zingine ni ngum kuzitamka.
Yataje.Kabila muhimu Sana kujuwa mm Kuna makabila nuksi Sana [emoji38]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app