Ladies tubadilike: Style mbalimbali za upakaji wa rangi za kucha

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571
Haya Warembo, Walimbwende, Wanyange na Wapenda uzuri wote..... Sote tunajua umuhimu wa kucha kwa mwanamke. Hata upendeze vipi halafu vikucha vyako vimekatikakatika ovyo, vimebanduka rangi, au unaving'ata (kwakweli mimi pia ni mhanga wa hili) unakuwa unaonekana ovyo.

Huku mitaani tumewachoka jamani na style zile zile za kupaka rangi. Yaani mpaka rangi wa Mbagala, wa Mwenge, wa Gongo la Mboto maua yaleyale ya mwaka 47 na nyie mnakubali tu kuchorwa.

This is 2016 bwana!..so i present you with examples za dope nails na nyie mkaige...nakupa hizi 12 ukifanya moja kila mwezi unakuwa uko juu mwaka mzima. Wakaka pia karibuni, mdownload picha muwape mawifi pamoja na PESA ya kuendea huko nail parlour au Mwenge au unaweza kununua ukampaka mwenyewe kwa mahaba zaidi(practice makes perfect)



Asanteni.
 
Heheh!, umenikumbusha wakati najifunza kupaka lipstick ilikuwa hai last too long, nilikuwa naishia kuilamba yote. 🙂
Hahaha mwanzo mgumu. Mwingine anavyoanza basi hilo pozi la mdomo utachoka mwenyewe, anaogopa lipstick itafutika teh
 
Hahaha mwanzo mgumu. Mwingine anavyoanza basi hilo pozi la mdomo utachoka mwenyewe, anaogopa lipstick itafutika teh


Heheee!, mdomo utabinuliwa siku nzima, hapo bado kuweka pose wakati wa kula au kunywa, na kutafuna mdomo wazi lipstick isitoke...lol!
 
Heheee!, mdomo utabinuliwa siku nzima, hapo bado kuweka pose wakati wa kula au kunywa, na kutafuna mdomo wazi lipstick isitoke...lol!
Hahaha unaweza kughairi kula na kunywa siku hiyo uwii. Yani ni vituko jamani
 
Reactions: kui
Points well noted. Siku ingine utupe somo LA namna ya kupaka maama Hawa wapaka kucha wammtaani wanapata credits sana kutoka kwa dada zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…