Ladies tubadilike: Style mbalimbali za upakaji wa rangi za kucha

Ladies tubadilike: Style mbalimbali za upakaji wa rangi za kucha

Hapana...anayejiremba anajielewa na anaemphasize her beauty...
Urembo haufanyi kibaya kuwa kizuri...bali unaemphasize ur strengths
Urembo ni natural, kama unaamini sio mrembo ndio utaenda kujipodoa, lakini wale wanajielewa kuwa ni warembo in nature hawana muda wa kujipodoa utadhani rangi za mabasi ya simiyu.
 
Back
Top Bottom