Ladies tubadilike: Style mbalimbali za upakaji wa rangi za kucha

Ladies tubadilike: Style mbalimbali za upakaji wa rangi za kucha

Kipimo cha usafi

1.Kucha zote
2.Nywele sio kichwa hujaosha wiki unatupia wigi
3. Mdomo
4. Nguo zafi nyepesi simple

Ni kweli, tena kwa kucha hata nyie kina kaka ni muhimu zikawa safi. Tena siku hizi mshindwe wenyewe cos hata kucha mnaweza tengenezwa.
 
Ni kweli, tena kwa kucha hata nyie kina kaka ni muhimu zikawa safi. Tena siku hizi mshindwe wenyewe cos hata kucha mnaweza tengenezwa.
Usihindwe nani atengenezwe kucha, sisi tunakata tuu tena na panga au kisu hakuna kuremba[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Usihindwe nani atengenezwe kucha, sisi tunakata tuu tena na panga au kisu hakuna kuremba[emoji28] [emoji28] [emoji28]

Kha!, zimekuwa kucha za kuku mpaka utumie panga!, 😀

Kuremba hapana, lakini unaweza kusafishwa tu.
 
Kha!, zimekuwa kucha za kuku mpaka utumie panga!, 😀

Kuremba hapana, lakini unaweza kusafishwa tu.
Nani anisafishe wakati mikono ninayo. Au unataka wanaume nao waanze kushinda wanasafisha kucha mwenge badala ya kazi?
 
Nani anisafishe wakati mikono ninayo. Au unataka wanaume nao waanze kushinda wanasafisha kucha mwenge badala ya kazi?

Kwa nini usafishe mwenyewe wakati unaweza safishwa. Haichukui muda mrefu wa kazi.
 
Kama wa kwenye Cinema za Ki Nigeria...lol!

Umenichekesha lakini, eti kama zamani. Mkuu mi niko simple sana mfano ni hii black and white, sipendi makolombwezo mengi. 🙂
Hahaha bana uwe simple kama enzi zako za primary lol
 
  • Thanks
Reactions: kui
1467289244539.jpg
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mwanamke anaye jiremba sana hajiamini. [emoji28] [emoji28]
Hapana...anayejiremba anajielewa na anaemphasize her beauty...
Urembo haufanyi kibaya kuwa kizuri...bali unaemphasize ur strengths
 
Back
Top Bottom