Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu wivu sasaPoints well noted. Siku ingine utupe somo LA namna ya kupaka maama Hawa wapaka kucha wammtaani wanapata credits sana kutoka kwa dada zetu
Taratibu tu utaweza. Nini kinakufanya huwez kuvumilia rangi?Rangi nzuri kwelikweli,ila ndio siwezi jamani kupaka hayo makitu.
Ni mwendo wa hina tu...
Niliwahi paka juzikati,nilipendezaje?
Ila nilivumilia sana...nilizitoa baada ya siku 3!
[emoji85][emoji85][emoji85]
Mazoea tu dear,na dini wengine sisi haziruhusu ndio kabisaaaaTaratibu tu utaweza. Nini kinakufanya huwez kuvumilia rangi?
Lol my story,so nifanyeje ili idumu?na sipendagi ile layer inayotengeneza kwny lipstick inapoishia,afu inategemea na aina au,I happen to buy one sio km lipgloss lakini sio dry ya kukaa the whole dayHeheh!, umenikumbusha wakati najifunza kupaka lipstick ilikuwa hai last too long, nilikuwa naishia kuilamba yote. 🙂
Unatumia henna?ni aina gani haiharibu kucha,nkipaka henna tu kucha zitatoka layers hadi sifurahii kwa kweliMazoea tu dear,na dini wengine sisi haziruhusu ndio kabisaaaa
Mimi yoyote tu, ile ya asili naonaga uvivu kusubiri ikowe.Unatumia henna?ni aina gani haiharibu kucha,nkipaka henna tu kucha zitatoka layers hadi sifurahii kwa kweli
Smtym natamani kuzikuza kidogo ila ni laini mno zinakatika zenyewe,I constantly keep them short mana za kubandika ni mzigoIts never too late kuzifuga....ila nafurahi tunakuwa wengi. Hope huzing'ati hadi damu kutoka
Beautiful.. Thanks for this
Lol my story,so nifanyeje ili idumu?na sipendagi ile layer inayotengeneza kwny lipstick inapoishia,afu inategemea na aina au,I happen to buy one sio km lipgloss lakini sio dry ya kukaa the whole day