Muchaga
Member
- Jun 8, 2016
- 60
- 28
Very hot in deed
Zinapendeza sana hasa in christamas season
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very hot in deed
Mhhh labda saloon za masaki mikocheni nk..mwenge mhhhThey are....yani ukipata mtu wa kukuchora fresh hvo...raha sana
Ila vijana wa mwenge Mashaallah..wana uelewa sana..yani vichwa vyepesi...na vile wanapenda kujifunza ili kufurahisha wateja atakusikiliza tu ukimuelekeza. Tatizo lao ni quality ya rangiMhhh labda saloon za masaki mikocheni nk..mwenge mhhh
Msichana mrembo ni yule ambaye haweki vipodozi wala nini, kipodozi kikubwa kwake ni lotion au mafuta yoyote yasiyo na rangi.
Nadiriki kusema wasichana mnajichafua wengine utadhani wamepaka matope
Ni upuuzi, wanaacha kuoga wanapaka hizo takataka hadi zinakera,Hao wa marangi mpaka ionekane sana wanazidisha. Make-up ni ujuzi, jinsin unavyoweka nyingine huwa hazionekani sana.
Make ups enhance the natural beauty.
Ni upuuzi, wanaacha kuoga wanapaka hizo takataka hadi zinakera,
Hujawahi ona masichana kucha zake za kikonoji na miguuni chafu kabisa lakini kaweka mirangi[emoji30]...utapakaje bila kuoga mkuu! 😀
Hujawahi ona masichana kucha zake za kikonoji na miguuni chafu kabisa lakini kaweka mirangi[emoji30]
Napenda sana msichana natural, amekata kucha zake vizuri za mikononi na miguuni, mdomo wake upo natural, nywele zake natural au amesuka,Mh!, utazionaje lakini kama zina rangi?
Napenda sana msichana natural, amekata kucha zake vizuri za mikononi na miguuni, mdomo wake upo natural, nywele zake natural au amesuka,
Lakini msichana utadhani ni wale mashetani kwenye filamu za kinigeria .[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Msichana kuwa simple sio unajiremba hadi.mumeo anaogopa hata kukutambulisha au kuku hug.
Kui badilika bana, uwe simple kama zamani ulipo kua unasoma shule
Hapo hata tukikutana nitakupa hug, [emoji28] [emoji28] [emoji28]