Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jul 4, 2016 #81 kui said: It depends na sana ya kiasi gani. Click to expand... Kuna vitu mnafanya tofauti hadi vinakua uchafu.
kui said: It depends na sana ya kiasi gani. Click to expand... Kuna vitu mnafanya tofauti hadi vinakua uchafu.
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jul 4, 2016 #82 Zurie said: Hapana...anayejiremba anajielewa na anaemphasize her beauty... Urembo haufanyi kibaya kuwa kizuri...bali unaemphasize ur strengths Click to expand... Urembo ni natural, kama unaamini sio mrembo ndio utaenda kujipodoa, lakini wale wanajielewa kuwa ni warembo in nature hawana muda wa kujipodoa utadhani rangi za mabasi ya simiyu.
Zurie said: Hapana...anayejiremba anajielewa na anaemphasize her beauty... Urembo haufanyi kibaya kuwa kizuri...bali unaemphasize ur strengths Click to expand... Urembo ni natural, kama unaamini sio mrembo ndio utaenda kujipodoa, lakini wale wanajielewa kuwa ni warembo in nature hawana muda wa kujipodoa utadhani rangi za mabasi ya simiyu.