hahahahaaa anayeuza dhahabu feki kalipwa dola feki!Unataka mwanamume mkweli wa nini???
Kama ungekuwa na duka, ungeweka mtambo wa kujua kama wateja wako wote wanaongea ukweli??? So what??
Cha msingi ni kuhakikisha huuzi bidhaa zako halali kwa noti feki....ila kama ni feki kwa feki kuna tatizo gani hapo??
Please soma post #229 hapo juu!!
Babu DC!!
mmmhhhhhh ngoja nimwombe NN anitafsirie ung'eng'e huu.Arif...Miafrika ndivyo tulivyo
We are more than often eluded with the concept of "the perfectionist" : An obvious enigma to our real life-depicting the epitome of our real character as rational beings...as would be in this case..
hahahaaaa Mkuu hilo jukwaa husika nina allergy nalo,huwa linanipandisha presha,too stressful.Mkuu wala usihangaishwe na mambo madogo hayo...sisi tuangalie suala la nishani za ikulu, waliokosa na waliopata na kwamba kwa nini simbioni haijenda bungeni kama richimondi baaas:A S-coffee:
nakupendeaga hicho Mrembo,your honesty,sasa ka vipi hako kadumu kakiku put off nishtue kwa PM ,i don't mind filling the shoes,no strings attached just kubembea.
si umrudie tu?Mama unanioneaa.
Sikuwa na maana mbaya, na nilikuwa na commitment ya hali ya juu, hta yeye analijua hilo.
Siyo siri tulifurahiana sana, na kika mtu alikuwa mtaalam kweli kweli ktk ishu. Labda ndo mana nikawa blind totally ndo maana mwisho wa siku ikala kwangu.
Damn hiim
umechelewa Mkuu,nshayaona,hivi naanza kumpigia mahesabu!Hana gharama huyu,sio kama kina SL kila siku hela ya saluni,nshachoka naye mie.Wewe Mrembo,
Unaijua JF na especially hili jamvi la MMU??
Naamini akina kaka Bishanga and CO hawataona hayo maneno!!
Babu DC!!
vipi bana nyumbani ni nyumbani....au wapenda cross breed zaidi lol
Haya umesema wewe......MI SIMO!!
ndugu yangu Kaizer,unaweza utongoze humu mmu mwisho ukutane na mtoto wa shangazi yako,naepuka ajali kwa kufunga mkanda.
Hahahaa Bishanga ''No strings attached'' source??
mtoto wa shangazi yako unamwitaje Bishanga....LOL...isije ikawa unajistrain tu
Hivi babu (yule wa kwa obama sio yule wa kijiji cha mwendakulima..lol) unaposema tupende kidogo kidogo au robo robo unakuwa unamaanisha ni vipi au kwa jinsi gani? Samahani lkn
Source HusninyoSource?
Hivi ACID YUKO WAPI ,GY AND CHEUSIMANGALA ???
which begs a question Koku,huwezi kuwa rafiki na mtu mpaka mvalishane pete?
Hivi ACID YUKO WAPI ,GY AND CHEUSIMANGALA ???