Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

Unataka mwanamume mkweli wa nini???

Kama ungekuwa na duka, ungeweka mtambo wa kujua kama wateja wako wote wanaongea ukweli??? So what??

Cha msingi ni kuhakikisha huuzi bidhaa zako halali kwa noti feki....ila kama ni feki kwa feki kuna tatizo gani hapo??


Please soma post #229 hapo juu!!


Babu DC!!
hahahahaaa anayeuza dhahabu feki kalipwa dola feki!
 
Arif...Miafrika ndivyo tulivyo

We are more than often eluded with the concept of "the perfectionist" : An obvious enigma to our real life-depicting the epitome of our real character as rational beings...as would be in this case..
mmmhhhhhh ngoja nimwombe NN anitafsirie ung'eng'e huu.
 
Mkuu wala usihangaishwe na mambo madogo hayo...sisi tuangalie suala la nishani za ikulu, waliokosa na waliopata na kwamba kwa nini simbioni haijenda bungeni kama richimondi baaas:A S-coffee:
hahahaaaa Mkuu hilo jukwaa husika nina allergy nalo,huwa linanipandisha presha,too stressful.
 
nakupendeaga hicho Mrembo,your honesty,sasa ka vipi hako kadumu kakiku put off nishtue kwa PM ,i don't mind filling the shoes,no strings attached just kubembea.

Hahahaa Bishanga ''No strings attached'' source??
 
Mama unanioneaa.
Sikuwa na maana mbaya, na nilikuwa na commitment ya hali ya juu, hta yeye analijua hilo.
Siyo siri tulifurahiana sana, na kika mtu alikuwa mtaalam kweli kweli ktk ishu. Labda ndo mana nikawa blind totally ndo maana mwisho wa siku ikala kwangu.
Damn hiim
si umrudie tu?
 
Wewe Mrembo,

Unaijua JF na especially hili jamvi la MMU??

Naamini akina kaka Bishanga and CO hawataona hayo maneno!!

Babu DC!!
umechelewa Mkuu,nshayaona,hivi naanza kumpigia mahesabu!Hana gharama huyu,sio kama kina SL kila siku hela ya saluni,nshachoka naye mie.
 
ndugu yangu Kaizer,unaweza utongoze humu mmu mwisho ukutane na mtoto wa shangazi yako,naepuka ajali kwa kufunga mkanda.

mtoto wa shangazi yako unamwitaje Bishanga....LOL...isije ikawa unajistrain tu
 
Duuh yaani jokofu tupu hakuna hata maji, sijui nani kafanya fujo ngoja niwasemee.
 
Hivi babu (yule wa kwa obama sio yule wa kijiji cha mwendakulima..lol) unaposema tupende kidogo kidogo au robo robo unakuwa unamaanisha ni vipi au kwa jinsi gani? Samahani lkn
 
Hivi babu (yule wa kwa obama sio yule wa kijiji cha mwendakulima..lol) unaposema tupende kidogo kidogo au robo robo unakuwa unamaanisha ni vipi au kwa jinsi gani? Samahani lkn

Usipime kina cha maji ya mto kwa miguu yote miwili:A S-coffee:
 
Back
Top Bottom