Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

Ahsante kwa kushukuru.. won't write again any articles related to peoples..
 
Eti umesema!!!
Weeeeh! Hebu soma tena ulichoandika then jiambie "hiiiiiiiiiiiiiii"

Chezea msoto wewe!!
 
Dah....na wasichokijua kuna watu wasingekuwepo walipo sasa Kama wasingevua pichu zao ... [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Ameen mkuu..
Let me embrace the Consequences of my doings 😢😢😢😢
 

Ulipokuwa na miaka 14 ulikuwa unafanya ngono kwa sababu unaitikia vichocheo( hisia zako zinakutuma), na kwangu mimi hiyo shida. That's the way we are wired;unampenda au kumtamani mtu, then unamake efforts kumpata.

Lakini wewe kutoa ngono kwa sababu ya kuhaidiwa kazi, thats completely different. Ndio maana hata sheria za nchi zinasema hilo ni kosa. Ila ukitoa kwa hiyari yako mbona ni poa kabisa, hata kama umetoa kwa watu 20, nobody will arrest you for that.
 
Eti ukiahidiwa ndoa ukatoa hakuna shida, ila ukiahidiwa kazi ukatoa hilo ni tatizo!!! Hivi kwanini tunapenda kuchagua dhambi, kwamba zinazotufavour ni dhambi ila kinyume chake sio!!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Kwenye ndoa tu sometimes mnapewa sababu ya kutaka favour fulani sembuse uahidiwe maisha!!
Hebu tuwe serious kidogo.
 
Ahsante kwa kushukuru.. won't write again any articles related to peoples..
Wewe ni mwoga sana. Unakata tamaa kirahisi sana.

Yaani kuna mtu kama Zurri angefungua uzi kama huu, angekomaa nao hadi watu wamwachie uzi waondoke.

Kusema hautaandika kuhusu watu tena unamaanisha pengine upo sahihi ila watu wanaamua kukukomoa kwa kupinga.

Sasa kama ni hivo komaa mpaka mwisho, usikate tamaa kirahisi hivi ni udhaifu.
 
Nimegundua tatizo lipo kwangu it took life in different angles.. I took it so simple because I care nothing..Literally nothing about what will gonna happen to me!
So I'm forcing others to follow my ways (Ideas and principles).
At the end this just a suggestion if some will see this rocks better atembee nayo..Kamaa ni upuuzi aupotezee tu
 
Reactions: Auz
Ahsante nimekuelewa mkuu.. Will try to be bold
 
Samahani sana mkuu..
Ila chaguzi ni lako maishani..
 
Ni mbaya na inapigwa vita kwa sababu ni rushwa kama rushwa zingine, lakini kwa mtoaji sioni kama inaleta damage yoyote as long as hajabakwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…