Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

Daah.
 
Ilà kumbuka bosi(HR) anapokea watu kila siku, anawagonga kwa style hiyo kila mara, mnaomba kazi kumi, anawala wote na kumpa kazi mmoja tu.
 
Ngono ili kupata kazi ni rushwa kama rushwa zingine, inafanya kampuni/ofisi ku-hire incompetent stuff, watu ambao wanaingia kazini bila sifa stahiki(hapa ndio tunaendelea kusema mwanamke asipowezeshwa hawezi). Kwa nini ukubali huu usemi katika maisha yako? Usipowezeshwa huwezi, kwamba usipotoa mwili wako utazidi kusota sio kweli, unaingia kufanya volunteering kwa rushwa then baada ya mda unaambiwa hutapata mkataba, yet ulitoa uchi ili uingizwe ofisini.

Rushwa ya ngono makazini ni moja ya rushwa mbaya sana, inalidhoofisha taifa.
 
Yeap..mpotezee check next option mkuu....ndo kuvumilia kwenyew nakozungumziwa...utaliwa na wangap sasa mkuu...
 
Mkuu things are pretty miserable to ladies, nimefanya kuwakumbusha wasimamie utu wao ila wananishushua mm kama vile nimetenda jambo baya zaidi ya hao HR
 
Ilà kumbuka bosi(HR) anapokea watu kila siku, anawagonga kwa style hiyo kila mara, mnaomba kazi kumi, anawala wote na kumpa kazi mmoja tu.
I think inaapply kwa zaidi ya HR/kuomba kazi
Maisha ni kujaribu popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…