Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

Yeap..mpotezee check next option mkuu....ndo kuvumilia kwenyew nakozungumziwa...utaliwa na wangap sasa mkuu...
Inategemea mpaka wakati huo nimewapa wangapi. Kama nina msururu sina cha kupoteza
 
wanawake wenyewe wanaona poa tu na wamezoea..Asee
 
Unakuta girl kaanza na kiboy friend chake toka A level,Chuo mpaka wanahitimu pamoja and then kwa bahati mbaya au nzuri man ndo anawahi kupata kazi baada ya miezi kadhaa tu jamaa dharau zinaanza anampiga chini demu anabaki kusota mtaani siku zinakata so likitokea shavu kwa HR LA kumvusha kwenye maisha yake akatae kisa kunanua mapaja wakati kuna mtu kama mimi nilikuwa napewa bure kwa moyo wote na nikaishia kumuacha kwenye mataa sio kwamba nawahimiza kufanya hivyo hapana ila ugumu wa maisha kuuvumilia kwa sababu tu ya kutaka kutakasika milele not right coz no body perfect
 
Ukweli mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, mkuu huu ujumbe ni mzuri sana lakini kumbuka masuala ya ngono hufanyika hata bila malengo ya kupata kazi, mitaani wanafunzi kwa wahitimu wanagongwa na vijana pamoja na wazee, kwa mantiki hii mimi naona wadada kwa wakaka waache kufanya ngono kabisa kabla ya kuoa au kuolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baya moja halihalalishi baya lingine
 
Reactions: Auz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…