Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchoka +usingizi.
Asante, na leo nimechoka acha nilale kabla sijaombwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Mkuu pole na Uchovu ulale sasa
We've chose to live like savages, Ila mimi nashindwa sana kuendana na system za dunia..mkuu you have a huge point here bro....lakini kwa kizazi cha sa hivi man hatuwezi kuona hili....moja kwa sababu tumejaa tamaa ya vitu vilivyonje ya uwezo wetu kwa sasa,pili kwa sababu hatuna chembe la uvumilivu katika maisha....watu tunapata msongo wa mawazo na magonjwa kwa sababu ya tamaa ya vitu au maisha yaliyo nje ya uwezo kwa sasa.
Mkuu sio tamaa ya vitu vilivyo nje ya uwezo wetu, ni kwamba jamii ya sasa imeoza. Hivi kwa mfano kazi ipo ya graduate na wewe ni graduate ila boss anataka nyapu ndio akuajiri ingawa sifa unazo...hivi hapo utasema unatamani vitu vilivyo nje ya uwezo wako?mkuu you have a huge point here bro....lakini kwa kizazi cha sa hivi man hatuwezi kuona hili....moja kwa sababu tumejaa tamaa ya vitu vilivyonje ya uwezo wetu kwa sasa,pili kwa sababu hatuna chembe la uvumilivu katika maisha....watu tunapata msongo wa mawazo na magonjwa kwa sababu ya tamaa ya vitu au maisha yaliyo nje ya uwezo kwa sasa.
Mtu kaanza kuliwa chuo huko mpaka na waume za watu.
Kutoa tu pussy ili apate kazi ataona ugumu gani?
Unaweza mwambia mtu ukweli akahisi unamkejeli, So mkubwa kuwa makini muwa ulizamishaga meliEti ukiahidiwa ndoa ukatoa hakuna shida, ila ukiahidiwa kazi ukatoa hilo ni tatizo!!! Hivi kwanini tunapenda kuchagua dhambi, kwamba zinazotufavour ni dhambi ila kinyume chake sio!!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kwenye ndoa tu sometimes mnapewa sababu ya kutaka fabour fulani sembuse uahidiwe maisha!!
Hebu tuwe serious kidogo.
He he mkuu hujaandika kitu cha kipuuzi ila kusema mtu kuwa mvumilivu kwa tabu za maisha hapo tunadanganyana! Solution ni kutatua shida walizonazo,shida zitakazowafanya wasithaminike,shida zinazowavulisha pichu bila kupenda!.Nimegundua tatizo lipo kwangu it took life in different angles.. I took it so simple because I care nothing..Literally nothing about what will gonna happen to me!
So I'm forcing others to follow my ways (Ideas and principles).
At the end this just a suggestion if some will see this rocks better atembee nayo..Kamaa ni upuuzi aupotezee tu
Kumbe huyu troublemaker ni mwanamke [emoji28][emoji28][emoji28]Shangaa na wewe shangazi, mtoa mada alitakiwa aspecify ni wanawake wa aina gani anawazungumzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe huyu troublemaker ni mwanamke [emoji28][emoji28][emoji28]
😳😳 Wee mimi Me bana anazingua huyu shangazi yanguKumbe huyu troublemaker ni mwanamke [emoji28][emoji28][emoji28]
Hebu tumalize utata, seriously hivi natakiwa nikuiteje? Maana huku nje pia nina watu wananiita shangazi na wamenizidi sana umri siwezi kuwaita kwa majina yao, natakuwa niwaiteje?[emoji15][emoji15] Wee mimi Me bana anazingua huyu shangazi yangu
Mimi si mwanao?Hebu tumalize utata, seriously hivi natakiwa nikuiteje? Maana huku nje pia nina watu wananiita shangazi na wamenizidi sana umri siwezi kuwaita kwa majina yao, natakuwa niwaiteje?
Sent using Jamii Forums mobile app