ha ha ha bila shaka huyo mwarabu kamtoa huko huko!!!
Arushaone inabidi uandike talaka yangu kwanza
vinginevyo
....mwenye pingamizi la haki kuwa ndoa hii ya Arushaone na Lady doctor isifungwe, kama yupo na aseme sasa................. hapo hapo utaona sura yangu mbele ya madhabahu.
kweli hapa umesema mwaya
hata CHAI CHUNGU alipata kule kule
naona na Baba V kakomalia huko huko inawezekana naye anatafuta
pacha ndio unanifukuza? Nitahairisha ujuee nije tubanane hapo kwa shemeji
....sijui ujana wake alikuwa wapi hadi anakuja kukurupuka uzeeni!!!!!
aaaaaah pacha
mi nakutakia kheri ujue
nimefurah sana!!
ha ha haaaa
anatafuta mastaili ya kuwapagaisha akina Mamndenyi
Kongosho mbona tuko vyumba vimetazamana tu hapa
au hauone pazia la bluu mbele yako
Ujana ni muda wa kutafuta pesa. Uzeeni matumizi.
baada ya hii harusi Heaven on earth ajiandae coz nmekua nikimmezea mate kitambo sana. Hadi sasa nmesharidhika na tabia zake. so usione tunajitoa kwa hari na mali kwenye harusi yako, jua siku si nyingi utakua mwenyekiti wa kamati ya harusi kati ya Heaven on earth na sir figganigga. miaPamoja sana. elfu.
baada ya hii harusi Heaven on earth ajiandae coz nmekua nikimmezea mate kitambo sana. Hadi sasa nmesharidhika na tabia zake. so usione tunajitoa kwa hari na mali kwenye harusi yako, jua siku si nyingi utakua mwenyekiti wa kamati ya harusi kati ya Heaven on earth na sir figganigga. mia
Lady doctor ana uvumilivu sana kwa hilo consideer urself lucky........Lady doctor kuna mengi utasikia ila unapaswa kuwa na roho ngumu sana. Mimi nawe mpaka kieleweke. Wengine woote tupa kuleee.
mnanichosha ujue, malaria ikipanda kichwani najua md4doctor2000 atanitibu so sina shaka na hilo
ndiyo. nmeingia na hii gia hata kama hujui kusoma basi utaona hii picha. nina hakika hii gia itakung'oa. miahahaaa kumbe ndo maana wewe figganigga umekuja na gia hiyo...........