Lady Jay Dee afunga ndoa tena?

Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar


Hakomi tu alishaanza kupata mwili mdada wa watu sasa anatafuta stress party tu, atampa huyo kick akipata umaarufu na kutumia hovyo mali zake watajitokeza wakina gigi na tunu kama ishirini na hapo tutakuwa tumeshampoteza, pressure yake itakuwa juu sana
 
Chezea dyudyu, kusugua na kusuguliwa kunaweza sababishia mtu homa
 
Huyo ndiye shemela mpya?
Kama ni kweli ni jambo la kheri,hongera zao.
Na hili liwe fundisho kwa ving'ang'anizi wa mahusiano yaliyokufa.
Maisha lazima yaendelee,lakini mahusiano mfu hayawezi kuendelea.
Period
kwamba
 
Hongera zake. Ila hapo sijaona picha zinazosupport thread yako mkuu.
 
Daudi MchambDada sidha post: 18527394 said:
Nampenda bure huyu dada
Kwa lipi mkuu...huu dada sidhani kama anastahili kupendwa bure
 
haraka haraka hizi. aangalie tu asije akaishia kufanyiwa yale ya wa mwanzo na kuachwa. Naogopa kutaja maana sheria inanibana, ila wote mnajua alichofanyiwa for 15 years na aliyepita.🙂🙂
 
Yule alikojoza 16 good yrs, huyu abanjue hadi tupate kibebi...!
 
Naona siku hizi anajaribu kuvaa nguo za uchi ili arudi kwenye form
 
Dah yule jamaa ndio alisema alimkojoza kwa miaka kadhaa akajua imetosha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…