Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

Kwenye heading ya mleta mada niliielewa kwa mbali sana, ila alipokuja kuweka hii image ndio kabisa siwezi kuelewa.

View attachment 1467099

Mleta mada aliweka hii kwenye last paragraph akimwambia jide

Usitume wahuni kuchafua wenzio acha kazi ziongee mwisho wa siku dunia itasema nani ni zaidi, kutangulia kuimba sio kujua kuliko wote

Trust me jide hawezia kuanza kufanya hizi business na haka katoto zaidi zaidi mnafanya haka katoto kaanze kujiona kako zaidi ya jide.

Mwakinyo alianza kulewa sifa za media akaanza kumtukana matumla bila hata kujua award ambazo amewahi kupata na mwisho wa siku anaanza kuomba misamaha kizembe mitandaoni.

Mwacheni huyo binti akomae kwenye kazi zake atafika pazuri ila kuanza kumpaisha hivi ni kumpoteza kabisa kwa sifa atakazodhani anazo.
 
Sawa, wakifanya vizuri usijibane wewe funguka tu uwasifie, usiishe kucheza Dodo bafuni alafu ukiwa mbele ya raiya unajibana 🀣🀣🀣
 
Zuchu sio mkali kigezo cha YouTube views ni nyumbu wa Mond
 
Sawa, wakifanya vizuri usijibane wewe funguka tu uwasifie, usiishe kucheza Dodo bafuni alafu ukiwa mbele ya raiya unajibana 🀣🀣🀣
@DaudiMchambuzi Dodo ngoma gani hiv dodo unaweza kufananisha na "Aje" hiv umeelewa kweli andiko langu kweli? au umejibu bila kuelewa?
 
@DaudiMchambuzi Dodo ngoma gani hiv dodo unaweza kufananisha na "Aje" hiv umeelewa kweli andiko langu kweli? au umejibu bila kuelewa?
hapana Dodo haiwezi kufananisha na Aje hata kidogo,
kila moja ina maudhui yake na kila moja ladha ya kipekee kuanzia kwenye uandishi, mahadhi.

Usiumie roho msanii usiyempenda akifanya vizuri,
yani jifunze kuwa na mawazo huru utaishi maisha ya furaha saana coz utakua flexible hadi kuwakosoa wale unaowashabikia na kuwasifia hata wale usiowashabikia.
Mimi sio shabiki wa Diamond ila nasema wazi Jeje ni ngom kali.

Be honest to yourself hata kama una stress za kulala kwenye kochi nyumbani kwa shemeji aliyemchumbia dada🀣🀣🀣
 
@DaudiMchambuzi Me nimpenzi wa music mzuri haswa Tena Kuna wasanii nawasikiliza nikikutajia wewe hata huwafahamu me siwezi kusifia ngoma mbaya niseme Ni nzuri au ngoma nzuri niseme mbaya ngoma za Kiba za mwisho nilizozielewa Ni seduce me na kadogo ngoma zilizofuata baada ya hizi azijawahi kunivutia Cha msingi kiba atoe ngoma kali Kama alivyokuwa anatoa mwanzo me mbona nilisifia alivyotoa seduce me na kadogo na nilizipost humu na kusifia
 
hahaha hao wasanii ambao ukinitajia na nisiweze kuwafahamu labda wawe manyoka wenzako mliozaliwa nao mwaka 2005.
 
Ni binti fulani mrembo kama wewe ila hajakuzidi.
Yuko pale dabliusibii anaimba bongo flava ni mtoto wa Hadija Kopa.
Jamani bebe[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8].....

Nitamsikiliza
 
Yaani miaka 4 aliyokaa wasafi ndio anaimba kawaida vile?
 
Mkuu sio mimi niliomringanisha ni watanzania ndio wanasema uwezo wa Zuchu ni mkubwa kuliko hao waliomtangulia.
Na unaposema hawezi kupafom yeye kama yeye ni lini umemuona kasimama jukwaani akashindwa kupafom? Tuwasikilize watanzania sio wajinga.
Unasema ni mashabiki? Mashabiki gani hao? Mbona sisi mashabiki hatujasema hivo? Uwezo wa kuimba? Unamjua ruby? Ktk hao uliowataja huyo zuchu ndio msanii mwenye uwezo mdogo wa kuimba kuliko wote japokuwa anaweza kufanikiwa coz label aliyopo muziki wameukamata
 
Yaani Zuchu ana ka EP kamoja, mnataka kumuweka ligi na mtu mwenye alabamu zaidi ya kumi? Nyie watoto wa siku hiz mkoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…