Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dabliusibiiiiii wanawehuka hadi basi khaaaaah, yaan huyu zuchu awekwe lev 1 na jay dee au vee money? Ngja nkae kimya tyuuuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dabliusibiiiiii wanawehuka hadi basi khaaaaah, yaan huyu zuchu awekwe lev 1 na jay dee au vee money? Ngja nkae kimya tyuuuh
🀣 🀣 🀣 tell 'em bro. Miaka zaidi ya 20 ya Jide kwenye fani ulinganishe na huyu dogo ambaye hana hata mwezi kwenye game?
 
Kuminganisha Jide na Zuchu ni sawa na kulinganisha KITAMBI na MIMBA. 😎😎😎😎
 
Mkuu sio mimi niliomringanisha ni watanzania ndio wanasema uwezo wa Zuchu ni mkubwa kuliko hao waliomtangulia.
Na unaposema hawezi kupafom yeye kama yeye ni lini umemuona kasimama jukwaani akashindwa kupafom? Tuwasikilize watanzania sio wajinga.
Hiyo mitimutimu yenu inawapeleka pabaya hivi jide umfanishe na nani sijui zuu??!huyo zuch anabebwa na lebo,mambo mengine mtachekwa wapi na wapi hapo?!?
 
Hiyo mitimutimu yenu inawapeleka pabaya hivi jide umfanishe na nani sijui zuu??!huyo zuch anabebwa na lebo,mambo mengine mtachekwa wapi na wapi hapo?!?
Niko naenda kazini mda huu huku nasikiliza ngoma mpya ya Mmakonde Harmonize-Ccm, Bonge la Singeli Wallah, nawish nije wakati wa Uchaguzi Wallah 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Tuweke uteam pembeni. Huyo Zuchu level zake ni chini ya amber lulu. Sijasikia cha maana kutoka kwake. Au ile kusema run run run, turn turn turn ndio inamfanya alingane na pipi wa barnaba?
 
Tuweke uteam pembeni. Huyo Zuchu level zake ni chini ya amber lulu. Sijasikia cha maana kutoka kwake. Au ile kusema run run run, turn turn turn ndio inamfanya alingane na pipi wa barnaba?
Ha ha ha ha Gig Money tu anamkalisha!!! washawahi msikiliza Grace Matata ? Ruby ? Jay d ni level nyingine kabisa(comandooo),ashakuwa na band (Machozi band) ,hapo media Kubwa imemtema (Clouds) na akasonga ,mtoe zuchu WCB mmpe mwezi tuuu kama utamsikia kama hajaishia kuwa kama Hawa nitarejea.
 
Watoto wa form one mpaka three mnafungua lini shule?? Too much jamani

Umeandika utumbo usioujua,

Zuchu unamlinganisha na jay dee?? Umefanya homework ya bailoji?

Zuchu ni mwimbaji, hajafika viwango wa jay dee, ruby, Linah n.k

Acha mahaba

Tumeona hao wakipeform live....na tumewasikia

Jay dee hauwezi tofautisha recorded audio na live...

Wcb kwa sasa anayeweza kusema ana nguvu ni rayvanny

Wengine wote wanabebwa na label
 
Katoa nyimbo tano hajapewa nafasi??

Mbona waimbaji wengi sana?

Zuchu?

Muwe serious bana

Fungueni shule mapema jamani, form three C
 
Kumfananisha Jide na Zuchu ni utomvu wa nidhamu uliopitiliza, Jide ana daraja lake tofauti kabisa.
 
Kipindi kile Vanessa Mdee mlimu over rate hivi hivi yako wapi sasa Jay Dee yeye ana chanja mbuga tu

Jide ni komando
 
Kama ukitaka kulinganisha mfananishe Zuchu na Mama yake maana naye huimba taarabu tu kwenye beat za bongo flava...lakini bado huko pia kuna kina Isha and the likes.Acheni kutumia nguvu kuaminisha watu ujinga eti Zuchu malkia kwa sasa...
 
Duh hii nchi ya ajabu Sana. Leo Jide anafananishwa na mtoto hata Albam hana.

Jide atabaki kuwa namba moja, sijaona wa kushindanishwa nae East Africa unless tunasikia kupitia muziki tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…