rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Jay dee Ni role model wa waimbaji wote wakike bongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 tell 'em bro. Miaka zaidi ya 20 ya Jide kwenye fani ulinganishe na huyu dogo ambaye hana hata mwezi kwenye game?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dabliusibiiiiii wanawehuka hadi basi khaaaaah, yaan huyu zuchu awekwe lev 1 na jay dee au vee money? Ngja nkae kimya tyuuuh
Kuminganisha Jide na Zuchu ni sawa na kulinganisha KITAMBI na MIMBA. 😎😎😎😎Jide ameonyesha kuipenda na kufurahia tweet ya shabiki mmoja asiyejua muziki.
Ni wazi 'like' aliyotoa Jide inaonyesha chuki aliyonayo kwa Zuchu ambae ni kama mtoto wa kumzaa kwake. Maoni ni mengi mtandaoni na watanzania wanasema Zuchu ndio kipenzi chao na kwenye uimbaji hana mpinzani kwa sasa, waliosema ni wananchi sio Zuchu sielewi wewe dada kwa nini Zuchu anakunyima usingizi
Nataka tu kumwambia Jide, kama watanzania wameamua kwa sauti moja kumpitisha Zuchu kuwa malkia mpya wa bongofleva.. Hauwezi kuzuia maana wakati wako umepita, muziki wa bongofleva kwa kina dada ni wa Zuchu kwa sasa.
Usitume wahuni kuchafua wenzio acha kazi ziongee mwisho wa siku dunia itasema nani ni zaidi, kutangulia kuimba sio kujua kuliko wote
View attachment 1466104
Hiyo mitimutimu yenu inawapeleka pabaya hivi jide umfanishe na nani sijui zuu??!huyo zuch anabebwa na lebo,mambo mengine mtachekwa wapi na wapi hapo?!?Mkuu sio mimi niliomringanisha ni watanzania ndio wanasema uwezo wa Zuchu ni mkubwa kuliko hao waliomtangulia.
Na unaposema hawezi kupafom yeye kama yeye ni lini umemuona kasimama jukwaani akashindwa kupafom? Tuwasikilize watanzania sio wajinga.
Niko naenda kazini mda huu huku nasikiliza ngoma mpya ya Mmakonde Harmonize-Ccm, Bonge la Singeli Wallah, nawish nije wakati wa Uchaguzi Wallah 🤣 🤣 🤣 🤣Hiyo mitimutimu yenu inawapeleka pabaya hivi jide umfanishe na nani sijui zuu??!huyo zuch anabebwa na lebo,mambo mengine mtachekwa wapi na wapi hapo?!?
Ha ha ha ha Gig Money tu anamkalisha!!! washawahi msikiliza Grace Matata ? Ruby ? Jay d ni level nyingine kabisa(comandooo),ashakuwa na band (Machozi band) ,hapo media Kubwa imemtema (Clouds) na akasonga ,mtoe zuchu WCB mmpe mwezi tuuu kama utamsikia kama hajaishia kuwa kama Hawa nitarejea.Tuweke uteam pembeni. Huyo Zuchu level zake ni chini ya amber lulu. Sijasikia cha maana kutoka kwake. Au ile kusema run run run, turn turn turn ndio inamfanya alingane na pipi wa barnaba?
Jide ameonyesha kuipenda na kufurahia tweet ya shabiki mmoja asiyejua muziki.
Ni wazi 'like' aliyotoa Jide inaonyesha chuki aliyonayo kwa Zuchu ambae ni kama mtoto wa kumzaa kwake. Maoni ni mengi mtandaoni na watanzania wanasema Zuchu ndio kipenzi chao na kwenye uimbaji hana mpinzani kwa sasa, waliosema ni wananchi sio Zuchu sielewi wewe dada kwa nini Zuchu anakunyima usingizi
Nataka tu kumwambia Jide, kama watanzania wameamua kwa sauti moja kumpitisha Zuchu kuwa malkia mpya wa bongofleva.. Hauwezi kuzuia maana wakati wako umepita, muziki wa bongofleva kwa kina dada ni wa Zuchu kwa sasa.
Usitume wahuni kuchafua wenzio acha kazi ziongee mwisho wa siku dunia itasema nani ni zaidi, kutangulia kuimba sio kujua kuliko wote
View attachment 1466104
Ukiona wengi wanamfananisha na kumpambanisha Zuchu na wasanii wakubwa basi jua she's more talented kiasi kwamba watu washaanza kumuogopa. Wakati nandy, na maua sama wanapanda kwenye charts hakuwepo mtu wa kuwapambanisha leo anatoka Zuchu limeibuka kundi la haters ambao kila siku ni kumponda na kumpambanisha na wasanii wakike waliotangulia "mara hana uwezo kushinda Nandy, Maua Sama na Mimi mars", "Oh, anabebwa na label", "Oh, muimba taarab", "Oh, pose zile zile", "Oh, she's not sexy".
Hizi ni ishara kuwa Zuchu ni nitishio kwao, pia wasichojua kuwa Zuchu alikuwa msanii aliyekamilika tangu akiwa anaingia Wasafi 4yrs ago, amekaa pale akisoma game na strategy za ku-win pia kuongeza maujuzi lakini angeweza kutoka enzi Nandy ni mbichi kwenye game.
Watu wanatakiwa kutulia kumpa nafasi Zuchu afanye kile akipendacho kama ilivyokuwa kwa wasanii wengini kumu-attack means ni tishio kwa mashabiki wa wasanii pambanishwa, na bado Zuchu ataendelea kuwanyima usingizi bado mapema mno kulalamika! 😁😁😁
Yajayo yanasikitisha kwa kweli.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] tell 'em bro. Miaka zaidi ya 20 ya Jide kwenye fani ulinganishe na huyu dogo ambaye hana hata mwezi kwenye game?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unemalizaaaaaahKusema ukweli Zuchu hamna kitu. Bora hata Tanasha.
KWELI KABISAYani kumtaja tu Gigy Money kwenye uimbaji nishaelewa uwezo wako wa kufahamu muziki, haustaili kuwepo kwenye hii thread.