Lady Jaydee ampigia magoti Ruge

Lady Jaydee ampigia magoti Ruge

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwanamuziki nguli wa bongo fleva na mmliki wa machozi band, Judith wambura aka lady jaydee ameonekana kusalimu amri kwa utawala wa radio clouds FM kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni kuyumba kibiashara katika muziki wake.

Kutokana na hali hiyo, ndipo ikaelezwa jaydee akaamua kuwaangukia mahasimu wake(ruge na kusaga) ili waendelee kumsaidia kama ilivyokuwa mwanzo.

"Ni taarifa za kweli kabisa, wameshakaa kikao na jide akaomba asamehewe, wakati wowote kuanzia sasa mtasikia Nyimbo za Lady jaydee zikipigwa Clouds FM" kilisema chanzo hicho.


Lady Jaydee akana kumpigia magoti Ruge
Kupitia ukurasa wake facebook Jaydee amesema " Nakanusha tena na tena, hii habari ni ya uongo na sijui walio
andika wana nia gani. Hiki kitu hakiwezi kuja kutokea. ..naweza kupiga magoti mbele za Mungu na mama yangu mzazi tu.""

10494766_773785565985575_313148355378116145_n.jpg
 
Nasikia hii redio inayoitwa E fm, inasemekana ni ya kwake, sasa inakuwaje tena ampigie magoti huyo ru gay wenu?
 
unataka kusema anaconda kageuka mjusi au?🙂
 
Back
Top Bottom