Tatizo letu wabongo ni kukurupuka kusiko na kufikiria... kwa masikio yangu nimeusikia wimbo huu ukipigwa mara kadhaa kwenye kituo hicho halikadhalika niliusikia ukiwa introduced kwenye radio hiyo kwenye kipindi cha xxl na pia nimeisikia mara kadhaa kwenye vipindi tofauti... sitetei may be kama kuacha kuipiga wawe wameacha kuipiga hivi karibuni... ila akisema wimbo wake hauchezwi ni muongo... then inaonesha dhahiri wengi wanaocomment katika hili si wasikilizaji wa radio ila ni ushabiki ndio umetawala.. ni kweli wana matatizo ila si katika hili... binti ana jengine sio suala la wimbo kutokuchezwa hiyo ni sababu ya kujikusanyia idadi ya wafata mkumbo na ushabiki.
na wewe ushangae,ile ni redio ya ruge na joseph,wanauhuru wa kutangaza kwa style yeyote ili mradi hawavunji sheria.Hii ni redio ya mtu binafsi na si ya serikali.
nimesoma tweet zake za leo amemtaja RUGE KABISAAA,PIA AMELAUM KUWA CLOUDS WALIMUHUJUM BAADA YA MUANDAAJ MMOJA KUANDAA SHOW NYUMBAN LOUNGE,HAKUISHIA HAPO AKASEMA RUGE ANAWAKATAZA VIJANA WA THT WASITUMBUIZE NYUMBAN LOUNGE NA ALIMTAJA BEN PAUL KUWA ALIMPA ADVANCE NA HAKUFIKA KWENYE SHOW,PIA NIMESOMA AKISEMA KUWA YEYE SI UNDERGROUND SO HAJUTII NGO,A ZAKE KUTOCHEZWA,NA AMESEMA KUWA ANACONDA (JINA ALILOJIPA( HUWA HAFATI WATU HADI WAMCHOKONOE (WAMFUKUNYUE) SO KWA SASA WAMEMCHOKOZA,,,,KUNA KM TWEET TATU AU 4 NILIZSOMAMbona kaongea tena kimafumbo kama yeye kweli ni mwanaume na ameamua kufunguka?!
Mkuu sio wanapondea chadema tu, bali hata wakristu na viongozi wao. Huwa hawathubutu kuongelea jambo lolote la kiislam, wakiofia ugaidi kwenye ofice au nyumbani kwao.
Ishu ya Millard Ayo, nathan yuko poa. Jamaa ni proffessional. Huwa hatoi mawazo yake kuwamilisha mawazo ya watanzania ka hao villaza wengine.
Ishu ya kulipwa sio ishu kwani ni ubunifu. Hata radio/tv yako ya taifa unayoilipia kodi wanatoza hela kwenye matangazo ya vifo au bango tv.
Chadema ITAKAPOCHUKUA nchi 2015, WATAKOMA UBISHI. Waacheni tu-time will tell
na wewe ushangae,ile ni redio ya ruge na joseph,wanauhuru wa kutangaza kwa style yeyote ili mradi hawavunji sheria.
Hii redio wanaisema sana hapa lakini cha ajabu inasikilizwa kila kona na style yao ya kutangaza iko unique