Lady JayDee na jini mahaba!

Mhhhhhhhhhh! sina nyongeza maana hata mimi nilimsikia nikaona ni private issues. ila tu amrejeree Muumba wake ndiye muweza yote.
Umeona ee, kaota hajaota ,atajijua mwenyewe. Hajui kuota ni ukosefu wa utamu mwilini,ukikosa kwa muda mrefu na umezoea lazima utaota, sasa waswahili wanasingizia majini,na waanaokojoa kitandani wanakojoleshwa na majini???
 
Pole sana Jay Dee!! Usiombe ukutane na tatizo la jini mahaba. Hata mtoto huzai!! Nafikiri pia Dee hana mtoto na amekuwa akisumbuka sana kwa tatizo hilo. God is good!! Atakusaidia Lady Jay Dee!! I admire you a lot!! Mwanamuziki mjasiriamali. Hajibweteki.
 
Mkuu nasikia usiposema ndio yanazidi kukulibolo. Na ukifunguka kama hivi alivyofanya jide yanasepa. Dah! Kumbe ndio maana jide hazai pole yake.

mbona kuna kipindi nlisikia kitumbo kimejaa? Bt wakati mwingine utakuta ni tatizo la Recreativo do Libolo
 
Kumbe ndio maana mpaka leo hajapata mtoto? Au Shem Gardner jogoo hapandi mtungi? DUuuUU pole dada, kweli mungu hakupi yote, mipesa yoooote hiyo, mtt nooo. Jitahidi hata ku-do nje. :crying:
 
pole jide. ila hukutumia busara kumwaga iyo issue kwa pubic, ni matatizo kweli lkn kila kitu na mahala pake.
 
Kumbe ndio maana mpaka leo hajapata mtoto? Au Shem Gardner jogoo hapandi mtungi? DUuuUU pole dada, kweli mungu hakupi yote, mipesa yoooote hiyo, mtt nooo. Jitahidi hata ku-do nje. :crying:

Mmh umeenda mbali sana. Haya mambo yakiwa kwa jirani onaona ka tamdhilia lakini pindi yakigonga hodi kwako hutokaa ufikirie au kodhubutu kusema hivyo
 
pole jide. ila hukutumia busara kumwaga iyo issue kwa pubic, ni matatizo kweli lkn kila kitu na mahala pake.

kwel kabisa, bt she was comfortable so..........., ila shigongo wiki hii kesha pata habari ya kupigia biashara!
 

kweli spiritual husband anatolewa kwa jina la Yesu peke yake. na ni sababu kubwa ya watu wengi kuwa wagumba.
 
Nimependa sana huu mchango wako mkuu,
Watu wengi wanaochangia hapa wanaowaona wanandoa hawa kama kituko,lakini ukweli kama utalichukulia swala lao katika hali chanya walichofanya ndicho walichopaswa hasa kufanya,wakiwa kama vioo vya jamii wametumia changamoto yao kuifundisha Jamii kuwa changamoto hizo zipo,zinaweza mfika mtu yoyote bila kujari hadhi yake katika jamii,lakini zinasuluhu yake.
Hivyo si dhani kama ni jambo la Aibu kulizungumza kiasi cha kuonekana wao ni kituko.

 
Ndiyo maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!
 
Hana lolote jini mahaba anafuata wAtu wenye mvuto..sasa jay dee jini mahaba anafuata nini.au cd za miziki
 

ah c'moooon
ukiwa unajiandaa kushusha mapwenti hiv uwe unatoa press release bana! Kongosho anaweza kumshawish kakake ankal adai DNA ujue!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…