Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Sawa sio wa Casto wala wa Peter yeye aliwashwa nini kuanza kutupa list ya madem wa Casto? Aliongea kama nani kama sio kimbelembele? Na kutupa na ratiba ya mazishi juu. Sasa kaumbuka vibaya kimbelembele kimemuisha kuingilia ya watu
 
Anapambana na yeye afikie ngozi ya Naj ili awe mwarabu kama mdogo ake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] loooh!haupati uarabu wala upemba!!Dada yule ni mshari kaaah!!yaani sijaona!
 
The fourth of July nakumbuka fire works za US embassy nikiwaga msasani kipindi kama hiki wao hawaendagi jangwani
 
Kweli tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…