U know hapa nacheka tu,mfano mdogo madame aliombeaga zari afie leba,same woman akajiweka kifront kumuwishi mtoto aliyetaka afe na mama ake leba.esma na mama ake kumkomesha zari walimpelekea mwanamke mwingine dai na bidada akafanya kweli na kitumbo ndiii,mtoto kuja duniani kageuka kero kwa hao wawili kuliko waliyetaka kumkomesha.
Ugomvi wa muna na casto unaingiliwa na wengi mno ila ladyna kajiweka upande usiopewa nafasi ya kusikilizwa. Wengi hawataki kusikia baba wa Pat ni Peter wanataka awe casto.
Wengi ili kuburudisha mashabiki wameendeleza kumnanga casto bila kufahamu ukweli husika.