Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Ladynaa Ana Tatizo Gani?

U know hapa nacheka tu,mfano mdogo madame aliombeaga zari afie leba,same woman akajiweka kifront kumuwishi mtoto aliyetaka afe na mama ake leba.esma na mama ake kumkomesha zari walimpelekea mwanamke mwingine dai na bidada akafanya kweli na kitumbo ndiii,mtoto kuja duniani kageuka kero kwa hao wawili kuliko waliyetaka kumkomesha.
Ugomvi wa muna na casto unaingiliwa na wengi mno ila ladyna kajiweka upande usiopewa nafasi ya kusikilizwa. Wengi hawataki kusikia baba wa Pat ni Peter wanataka awe casto.
Wengi ili kuburudisha mashabiki wameendeleza kumnanga casto bila kufahamu ukweli husika.
Sawa sio wa Casto wala wa Peter yeye aliwashwa nini kuanza kutupa list ya madem wa Casto? Aliongea kama nani kama sio kimbelembele? Na kutupa na ratiba ya mazishi juu. Sasa kaumbuka vibaya kimbelembele kimemuisha kuingilia ya watu
 
Aisee!

Hao wote siwajui.

Haya tuanze na huyo Muna Love au sijui Munalove?

Ni nani kwani?

Na huyo LadyN.....who is she?

I know....I know....this is way above [rather below, to be honest] my pay grade. But heck, it’s the 4th and I ain’t got shit to do so I might as well find something to do.

Now serve me the tea, please.

NB: Nadhani nimeuliza kistaarabu....
The fourth of July nakumbuka fire works za US embassy nikiwaga msasani kipindi kama hiki wao hawaendagi jangwani
 
U know hapa nacheka tu,mfano mdogo madame aliombeaga zari afie leba,same woman akajiweka kifront kumuwishi mtoto aliyetaka afe na mama ake leba.esma na mama ake kumkomesha zari walimpelekea mwanamke mwingine dai na bidada akafanya kweli na kitumbo ndiii,mtoto kuja duniani kageuka kero kwa hao wawili kuliko waliyetaka kumkomesha.
Ugomvi wa muna na casto unaingiliwa na wengi mno ila ladyna kajiweka upande usiopewa nafasi ya kusikilizwa. Wengi hawataki kusikia baba wa Pat ni Peter wanataka awe casto.
Wengi ili kuburudisha mashabiki wameendeleza kumnanga casto bila kufahamu ukweli husika.
Kweli tupu
 
Back
Top Bottom