Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Haya kaandika Muna mwenyewe kwenye page yake.
 
Kwa alichoongea Peter Komu, kinachoma kama pasi... Ladynaa alikuwa sahihi!hivi kwa style hyo muna ameokokea nini wandugu? Huyo mwimba injili aliyempangia mbezi beach ni nan?
Huyo Peter Komu anatafuta huruma hali anajua yeye sio baba mzazi wa mtoto
 
Tangu wazaramo wameanza kuijua internet basi tabu tupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya kaandika Muna mwenyewe kwenye page yake.View attachment 802691
Umeniwahi nilitaka niseme hivi mwenye haki ya mtoto ni nani kati yao hata km huyo Peter ndo baba na alikua anatoa pesa za hospital!!

Ifike mahali wamuache Muna km muna na hao ndugu ni wasengeee tu km wengine

Mtoto anavyouma halafu Leo mje kutafuta kick kwa mwananguu!ntameza mtu!

Wamuache Muna amzike mwanawe hao wengine wapuuzi tu!

Mimi kama mama mzazi nimemuelewa sanaa muna kuliko hao punda wengine wote!
 
Milly alinangwa ndo maana alishusha post. Nimekutumia alichoandika da Muna
 
Hao ndugu fake wanaolazimisha Patrick awe baba wa Pat
 
Unambwebwe sana wewe jamaa itadhani burucheka!!!!!!

Unasema huwajui, Ila hajatajwa MunaLove katajwa Muna wewe "kwa kuwa humjui" ukajiongeza kwamba anaitwa Munalove! Hahahahaa uyoz mbaya huu

Mimi siwajui kabisa hao watu.

Kwa hiyo hakuna mbwembwe zozote hapo.

Kama zipo basi zipo kwenye imaginations zako tu.

Kuhusu Muna na Munalove, well, labda nimekosea. Kama nimekosea then it’s an honest mistake kwa sababu huyo Munalove nimeona katajwa tajwa sana humu [uongo?] hizi siku mbili tatu.

So it stands to reason kwamba baada ya mimi kuona jina la ‘Muna’ nikadhani ndo huyo huyo Munalove niliyeona anajadiliwa kwingine.

Mimi simjui na sinufaiki na chochote kama namjua halafu nijifanye simjui.

Kwa hiyo hakuna mbwembwe zozote hapa. Kilichopo ni maruerue [hallucinations] yako tu.

Swali mtambuka: huyu anayezungumziwa hapa si Munalove??

Maana kama anayezungumziwa hapa ni yeye, basi hakuna nilichokosea.

Sasa nambie, anayezungumziwa hapa siyo Munalove???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…