Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi hapana kwa kweli tena bora wa mtu kama politician kidogo ila sio huu wa entertainment!!!Umaarufu una gharama kubwa sana watu hawajuagi tu wanaona ni rahisi.
Haya kaandika Muna mwenyewe kwenye page yake.FAHAMU : Kwa mujibu wa dada wa Muna aitwaye Eve, msiba huo upo Mwananyamala kwa baba wa mtoto huyo. Wakati watu wakisubiri kuupokea mwili wa mtoto wa Muna Love aliyefariki Julai 3, 2018 jijini Nairobi alikokuwa akitibiwa, dada wa msanii huyo amesema msiba uko kwa baba wa mtoto anayeishi Mwananyamala kwa Mwakibile jijini Dar es Salaam. Mtoto huyo, Patrick alikuwa na uvimbe kichwani na wazazi wake kumpeleka Nairobi kwa matibabu zaidi. Akizungumza na Mwananchi , Eve, ambaye ni dada wa Muna, amesema wameamua kuweka msiba Mwananyamala kwa sababu ndiko nyumbani kwa baba yake. “Msiba hauko huko Mbezi jamani. Patrick ana baba yake na yuko hai anaitwa Peter. Hivyo tuko hapa Mwananyamala kwa Mwakibile tunapanga jinsi ya kuurudisha mwili Tanzania kwa ajili ya maziko,ambayo tutawatajia siku,” alisema Eve. Eve aliomba watu waachane na habari zinazosambazwa mitandaoni kuwa mtoto huyo ni wa mtangazaji maarufu wa televisheni, Caston, akisema ni za upotoshaji. Amesema iwapo watu wanataka ukweli wa suala hilo, waende msibani kwa ajili ya kupata habari kamili.
Huyo Peter Komu anatafuta huruma hali anajua yeye sio baba mzazi wa mtotoKwa alichoongea Peter Komu, kinachoma kama pasi... Ladynaa alikuwa sahihi!hivi kwa style hyo muna ameokokea nini wandugu? Huyo mwimba injili aliyempangia mbezi beach ni nan?
Umeniwahi nilitaka niseme hivi mwenye haki ya mtoto ni nani kati yao hata km huyo Peter ndo baba na alikua anatoa pesa za hospital!!Haya kaandika Muna mwenyewe kwenye page yake.View attachment 802691
Milly alinangwa ndo maana alishusha post. Nimekutumia alichoandika da MunaOooh waaaow sijaona uzi wa kumnanga milly kwa kusingizia muna kamuua mwanae ila kisa mnamchukia msema ukweli ladyna baaasiii anapakwa rangi zote mbaya. List hata harmonize aliitoa,mange anatoaga list wala sio jambo geni bongo
Zama kashikilia kila kitu kuhusu huo msiba wala hamusemi saiv malaika aiseee cant wait baadae mtakavyoanza kumnanga kama ladyna. Wabongo tunapata tabu sana
Mnaaa tu wanaume hawa anajua mtoto sio wake baas tuHuyo Peter Komu anatafuta huruma hali anajua yeye sio baba mzazi wa mtoto
Hao ndugu fake wanaolazimisha Patrick awe baba wa PatUmeniwahi nilitaka niseme hivi mwenye haki ya mtoto ni nani kati yao hata km huyo Peter ndo baba na alikua anatoa pesa za hospital!!
Ifike mahali wamuache Muna km muna na hao ndugu ni wasengeee tu km wengine
Mtoto anavyouma halafu Leo mje kutafuta kick kwa mwananguu!ntameza mtu!
Wamuache Muna amzike mwanawe hao wengine wapuuzi tu!
Mimi kama mama mzazi nimemuelewa sanaa muna kuliko hao punda wengine wote!
Unambwebwe sana wewe jamaa itadhani burucheka!!!!!!
Unasema huwajui, Ila hajatajwa MunaLove katajwa Muna wewe "kwa kuwa humjui" ukajiongeza kwamba anaitwa Munalove! Hahahahaa uyoz mbaya huu
Umaarufu una gharama kubwa sana watu hawajuagi tu wanaona ni rahisi.