Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Ladynaa Ana Tatizo Gani?

FAHAMU : Kwa mujibu wa dada wa Muna aitwaye Eve, msiba huo upo Mwananyamala kwa baba wa mtoto huyo. Wakati watu wakisubiri kuupokea mwili wa mtoto wa Muna Love aliyefariki Julai 3, 2018 jijini Nairobi alikokuwa akitibiwa, dada wa msanii huyo amesema msiba uko kwa baba wa mtoto anayeishi Mwananyamala kwa Mwakibile jijini Dar es Salaam. Mtoto huyo, Patrick alikuwa na uvimbe kichwani na wazazi wake kumpeleka Nairobi kwa matibabu zaidi. Akizungumza na Mwananchi , Eve, ambaye ni dada wa Muna, amesema wameamua kuweka msiba Mwananyamala kwa sababu ndiko nyumbani kwa baba yake. “Msiba hauko huko Mbezi jamani. Patrick ana baba yake na yuko hai anaitwa Peter. Hivyo tuko hapa Mwananyamala kwa Mwakibile tunapanga jinsi ya kuurudisha mwili Tanzania kwa ajili ya maziko,ambayo tutawatajia siku,” alisema Eve. Eve aliomba watu waachane na habari zinazosambazwa mitandaoni kuwa mtoto huyo ni wa mtangazaji maarufu wa televisheni, Caston, akisema ni za upotoshaji. Amesema iwapo watu wanataka ukweli wa suala hilo, waende msibani kwa ajili ya kupata habari kamili.
Haya kaandika Muna mwenyewe kwenye page yake.
IMG-20180704-WA0092.jpg
 
Kwa alichoongea Peter Komu, kinachoma kama pasi... Ladynaa alikuwa sahihi!hivi kwa style hyo muna ameokokea nini wandugu? Huyo mwimba injili aliyempangia mbezi beach ni nan?
Huyo Peter Komu anatafuta huruma hali anajua yeye sio baba mzazi wa mtoto
 
Tangu wazaramo wameanza kuijua internet basi tabu tupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya kaandika Muna mwenyewe kwenye page yake.View attachment 802691
Umeniwahi nilitaka niseme hivi mwenye haki ya mtoto ni nani kati yao hata km huyo Peter ndo baba na alikua anatoa pesa za hospital!!

Ifike mahali wamuache Muna km muna na hao ndugu ni wasengeee tu km wengine

Mtoto anavyouma halafu Leo mje kutafuta kick kwa mwananguu!ntameza mtu!

Wamuache Muna amzike mwanawe hao wengine wapuuzi tu!

Mimi kama mama mzazi nimemuelewa sanaa muna kuliko hao punda wengine wote!
 
Oooh waaaow sijaona uzi wa kumnanga milly kwa kusingizia muna kamuua mwanae ila kisa mnamchukia msema ukweli ladyna baaasiii anapakwa rangi zote mbaya. List hata harmonize aliitoa,mange anatoaga list wala sio jambo geni bongo

Zama kashikilia kila kitu kuhusu huo msiba wala hamusemi saiv malaika aiseee cant wait baadae mtakavyoanza kumnanga kama ladyna. Wabongo tunapata tabu sana
Milly alinangwa ndo maana alishusha post. Nimekutumia alichoandika da Muna
 
Umeniwahi nilitaka niseme hivi mwenye haki ya mtoto ni nani kati yao hata km huyo Peter ndo baba na alikua anatoa pesa za hospital!!

Ifike mahali wamuache Muna km muna na hao ndugu ni wasengeee tu km wengine

Mtoto anavyouma halafu Leo mje kutafuta kick kwa mwananguu!ntameza mtu!

Wamuache Muna amzike mwanawe hao wengine wapuuzi tu!

Mimi kama mama mzazi nimemuelewa sanaa muna kuliko hao punda wengine wote!
Hao ndugu fake wanaolazimisha Patrick awe baba wa Pat
 
Unambwebwe sana wewe jamaa itadhani burucheka!!!!!!

Unasema huwajui, Ila hajatajwa MunaLove katajwa Muna wewe "kwa kuwa humjui" ukajiongeza kwamba anaitwa Munalove! Hahahahaa uyoz mbaya huu

Mimi siwajui kabisa hao watu.

Kwa hiyo hakuna mbwembwe zozote hapo.

Kama zipo basi zipo kwenye imaginations zako tu.

Kuhusu Muna na Munalove, well, labda nimekosea. Kama nimekosea then it’s an honest mistake kwa sababu huyo Munalove nimeona katajwa tajwa sana humu [uongo?] hizi siku mbili tatu.

So it stands to reason kwamba baada ya mimi kuona jina la ‘Muna’ nikadhani ndo huyo huyo Munalove niliyeona anajadiliwa kwingine.

Mimi simjui na sinufaiki na chochote kama namjua halafu nijifanye simjui.

Kwa hiyo hakuna mbwembwe zozote hapa. Kilichopo ni maruerue [hallucinations] yako tu.

Swali mtambuka: huyu anayezungumziwa hapa si Munalove??

Maana kama anayezungumziwa hapa ni yeye, basi hakuna nilichokosea.

Sasa nambie, anayezungumziwa hapa siyo Munalove???
 
Back
Top Bottom