Lagos inanuka uchafu na Rushwa!

Machakaramu ndio vitu gani mkuu?
 
Duh kweli ujanja mwingi ni ujinga ndio nchi yenye wasomi wengi sana Africa ila ustaarabu ni zero..
 
Kwa hiyo kumbe Wanigeria huwa wanatuonyesha mapicha ya City Centre pekee siyo?

Nijuavyo Lagos ni boonge la Jiji lenye mandhari safi
Kuna sehemu zao Lagos ushuani kule Victoria Island, ndizo wanaonesha sana. Ila kuna movies nyingine wanaonesha kitaa.

Lagos ina watu takribani milioni 15, yani, unaweza kupata Dar mbili na bado zikawa hazijaifikia Lagos kwa wingi wa watu.
 
Ile ninadhani ni Metropolitan yaani ni zaidi Jiji. Ninadhani wanaita Jimbo kama ilivyo Katanga ya DRC
 
Kama hujatimba kwa Joe Biden mbado sana jomba.
 
Afrika huu weusi tuliopewa tofauti na wenzetu kuna namna. matatizo yetu ni yale yale. Ona ghana baada ya kuingia raisi ambaye mmoja wa wazazi wake alikuwa mzungu ikapaa ikawa ya demokrasia uchumi ukakua, sasa hivi inarudi kule kule.
Yani afrika tuna matatizo yanafanana sijui nani katuroga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…