BuletAngle
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 688
- 556
Kuna namna hapa kwakweli mimi nilishahoji muda sana hili swala kwa nini passport haina nguvuPassport hasa new generation passport ni secure document. Inashangaza passport isitumike kusajili line bila maelezo yeyote!
WaNa hakuna laini itakayofungwa labda zisizo na madeni ila kama zangu wakizifunga wamekula hasara tu 😝😝
Issue ni Passport Namba zao ....pindi zitakapo ingizwa katika system si-zitasoma mpaka finger print zao
Ndio swali nililouliza, hizo namba za passport zinasomeka mpaka kwenye mifumo ya kusajilia simu?Issue ni Passport Namba zao ....pindi zitakapo ingizwa katika system si-zitasoma mpaka finger print zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio swali nililouliza, hizo namba za passport zinasomeka mpaka kwenye mifumo ya kusajilia simu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe nilikuwa na hasira kama zako ' niliendaga Mara 1tu NIDA baada ya kukutana na mambo yasiyo eleweka nikaamua kuachana na Hiyo project yaoMimi nimetulia tu hiyo foleni ya nida ya kutafuta hicho kitambulisho majanga basi kama kufunga laini wacha wafunge tu.
Swali langu lipo hapa... Unaposajili line kwa mfumo wa alama za vidole huinginzi sijui majina, tarehe ya kuzaliwa na uchafu mwingine, ukiingiza tu namba na alama za vidole taarifa zinajifeed automatically, sasa hao wageni hizo taarifa zao zitakuwa accessible na huu mfumo wetu wa kusajili?Awali passport zilikuwa zinatumika katika huo mfumo '' kwa sasa serikali haikuzihusisha kwa sababu lengo lao kubwa ni kuwapata victims wengi kwaajili ya uchaguzi " na sio vinginevyo .... So kuhusu swali lako hata mimi bado nipo njia Panda nakusubiri wewe unipitie (kidding)
Ilikuwaga kama una I'd ya kupigia kura/ cha taifa or passport basi unafanya tu register .. Ila Tangu waanzishe huu mfumo wa finger print naona passport hawakutaka kuihusisha ...... Hii serikali utendaji wake unashangaza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda zetu haziaminiki....hahahaha.... Mambo mengine yanawezekana hapa kwetu tu jamani!!!!Kama wageni wataruhusiwa kutumia passports zao kwa nini watz wenye pass za Tz wasiruhusiwe kusajili line zao? Hii Ndiyo double standard za kibongo kuthamini vya nje na kudharau vya kwako
Binafsi naamini kama wewe. Wa kwanza kupata hasara kwa kufungwa line ni Mwanzilishi wa zoezi, akifuatia mtoa huduma wa line husika. Tusubiri tu, muda utasemaLine zikifungwa huduma nyingi zitawama..sidhani Kama Kuna kufungiwa line.
Sent using Jamii Forums mobile app
3. Itakuwaje wa wageni wanakuja TZ na hawana sifa za KWENDA NIDA na hivyo kukosa namna ya kusajili laini?
Wewe pia usiwe na matukio ya uhalifu maana utamponza mwenye ID!Mimi mwenyewe nilikuwa na hasira kama zako ' niliendaga Mara 1tu NIDA baada ya kukutana na mambo yasiyo eleweka nikaamua kuachana na Hiyo project yao
Ila sasa nikaja kupenyezewa siri kwamba Kama una line yako ya zamani na haijasaliwa katika usajili huu wa finger print basi unaweza kutumia ID ya mtu ambaye tayari ana kitambulisho cha Taifa '' kwaajili ya kuihakiki Namba yako '' (ONYO hilo ulifanye kwa kutumia ID card ya mtu ambaye hana matukio ya uhalifu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda tunapenda vitu vipya. Kila wakati kuanzisha michakato mipya!!ONA hii unahitaji kitambulisho cha NIDA kusajili laini, pia Unahitaji Kitambulisho cha NIDA kuomba PASSPOTI. ILA huwezi Kusajiri laini ya simu kwa PASSPOTI. what went wrong with passports? Ama kuna ajenda gani juu ya NIDA na utendaji wake ambao unasababisha mtu aombe kitambulisho asubiri miaka kukipata? ineffective imekuwa sehemu yetu?
UNAELEWA HAPO?
Wanaruhusiwa kusajili kwa kutumia passport zao. Ila inakuwa na muda wa kutumika baada ya huo muda inafungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe pia usiwe na matukio ya uhalifu maana utamponza mwenye ID!
ONA hii unahitaji kitambulisho cha NIDA kusajili laini, pia Unahitaji Kitambulisho cha NIDA kuomba PASSPOTI. ILA huwezi Kusajiri laini ya simu kwa PASSPOTI. what went wrong with passports? Ama kuna ajenda gani juu ya NIDA na utendaji wake ambao unasababisha mtu aombe kitambulisho asubiri miaka kukipata? ineffective imekuwa sehemu yetu?
UNAELEWA HAPO?