Laini za simu kufungwa, akaunti za pesa kubaki

Laini za simu kufungwa, akaunti za pesa kubaki

Passport hasa new generation passport ni secure document. Inashangaza passport isitumike kusajili line bila maelezo yeyote!
Kuna namna hapa kwakweli mimi nilishahoji muda sana hili swala kwa nini passport haina nguvu
 
Mimi nimetulia tu hiyo foleni ya nida ya kutafuta hicho kitambulisho majanga basi kama kufunga laini wacha wafunge tu.
 
ONA hii unahitaji kitambulisho cha NIDA kusajili laini, pia Unahitaji Kitambulisho cha NIDA kuomba PASSPOTI. ILA huwezi Kusajiri laini ya simu kwa PASSPOTI. what went wrong with passports? Ama kuna ajenda gani juu ya NIDA na utendaji wake ambao unasababisha mtu aombe kitambulisho asubiri miaka kukipata? ineffective imekuwa sehemu yetu?

UNAELEWA HAPO?
 
Awali passport zilikuwa zinatumika katika huo mfumo '' kwa sasa serikali haikuzihusisha kwa sababu lengo lao kubwa ni kuwapata victims wengi kwaajili ya uchaguzi " na sio vinginevyo .... So kuhusu swali lako hata mimi bado nipo njia Panda nakusubiri wewe unipitie (kidding)

Ilikuwaga kama una I'd ya kupigia kura/ cha taifa or passport basi unafanya tu register .. Ila Tangu waanzishe huu mfumo wa finger print naona passport hawakutaka kuihusisha ...... Hii serikali utendaji wake unashangaza sana
Ndio swali nililouliza, hizo namba za passport zinasomeka mpaka kwenye mifumo ya kusajilia simu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimetulia tu hiyo foleni ya nida ya kutafuta hicho kitambulisho majanga basi kama kufunga laini wacha wafunge tu.
Mimi mwenyewe nilikuwa na hasira kama zako ' niliendaga Mara 1tu NIDA baada ya kukutana na mambo yasiyo eleweka nikaamua kuachana na Hiyo project yao

Ila sasa nikaja kupenyezewa siri kwamba Kama una line yako ya zamani na haijasaliwa katika usajili huu wa finger print basi unaweza kutumia ID ya mtu ambaye tayari ana kitambulisho cha Taifa '' kwaajili ya kuihakiki Namba yako '' (ONYO hilo ulifanye kwa kutumia ID card ya mtu ambaye hana matukio ya uhalifu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BDN
Awali passport zilikuwa zinatumika katika huo mfumo '' kwa sasa serikali haikuzihusisha kwa sababu lengo lao kubwa ni kuwapata victims wengi kwaajili ya uchaguzi " na sio vinginevyo .... So kuhusu swali lako hata mimi bado nipo njia Panda nakusubiri wewe unipitie (kidding)

Ilikuwaga kama una I'd ya kupigia kura/ cha taifa or passport basi unafanya tu register .. Ila Tangu waanzishe huu mfumo wa finger print naona passport hawakutaka kuihusisha ...... Hii serikali utendaji wake unashangaza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu lipo hapa... Unaposajili line kwa mfumo wa alama za vidole huinginzi sijui majina, tarehe ya kuzaliwa na uchafu mwingine, ukiingiza tu namba na alama za vidole taarifa zinajifeed automatically, sasa hao wageni hizo taarifa zao zitakuwa accessible na huu mfumo wetu wa kusajili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wageni wataruhusiwa kutumia passports zao kwa nini watz wenye pass za Tz wasiruhusiwe kusajili line zao? Hii Ndiyo double standard za kibongo kuthamini vya nje na kudharau vya kwako
Labda zetu haziaminiki....hahahaha.... Mambo mengine yanawezekana hapa kwetu tu jamani!!!!
 
Mimi mwenyewe nilikuwa na hasira kama zako ' niliendaga Mara 1tu NIDA baada ya kukutana na mambo yasiyo eleweka nikaamua kuachana na Hiyo project yao

Ila sasa nikaja kupenyezewa siri kwamba Kama una line yako ya zamani na haijasaliwa katika usajili huu wa finger print basi unaweza kutumia ID ya mtu ambaye tayari ana kitambulisho cha Taifa '' kwaajili ya kuihakiki Namba yako '' (ONYO hilo ulifanye kwa kutumia ID card ya mtu ambaye hana matukio ya uhalifu)

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe pia usiwe na matukio ya uhalifu maana utamponza mwenye ID!
 
ONA hii unahitaji kitambulisho cha NIDA kusajili laini, pia Unahitaji Kitambulisho cha NIDA kuomba PASSPOTI. ILA huwezi Kusajiri laini ya simu kwa PASSPOTI. what went wrong with passports? Ama kuna ajenda gani juu ya NIDA na utendaji wake ambao unasababisha mtu aombe kitambulisho asubiri miaka kukipata? ineffective imekuwa sehemu yetu?

UNAELEWA HAPO?
Labda tunapenda vitu vipya. Kila wakati kuanzisha michakato mipya!!
 
Mishil jibu la swali lako hili hapa.. It means mfumo wa passport kwa kuwa ni mfumo ambao unatumika worldwide itakuwa ni rahisi kwa mamlaka husika ya mawasiliano kuweza ku- detect Huo Mfumo wa kusajili line za wageni toka nje ya nchi kwa kupitia passport zao kwa sababu tayari huwa zina kuwa na fingerprints
Wanaruhusiwa kusajili kwa kutumia passport zao. Ila inakuwa na muda wa kutumika baada ya huo muda inafungwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upigaji tu mkuu-- kinacho angaliwa na Watawala wetu ni kunufaisha matumbo Yao

Hapo unakuta Kiongozi akipewa mamlaka ya kusimamia wizara Fulani nae ana kuja na project Yake ili waweze kupiga pesa '' Hata kama alikuta tayari kuna mfumo Fulani chanya ulioachwa na walio mtangulia hawezi kuupa kipaumbele kwa sababu anaona kuwa mfumo huo endapo ukifuatwa yeye and is co . hawato piga hela
ONA hii unahitaji kitambulisho cha NIDA kusajili laini, pia Unahitaji Kitambulisho cha NIDA kuomba PASSPOTI. ILA huwezi Kusajiri laini ya simu kwa PASSPOTI. what went wrong with passports? Ama kuna ajenda gani juu ya NIDA na utendaji wake ambao unasababisha mtu aombe kitambulisho asubiri miaka kukipata? ineffective imekuwa sehemu yetu?

UNAELEWA HAPO?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aminini nawambia, hakuna chembe ya line itakayofungiwa.
Teknolojia yetu bado ni changa Sana, back in 2016 tuliambiwa simu bandia/feki zitazimwa lakini walijibaragua na kuzifunga simu chache huku wakiahidi kuendelea kuzifungia. Hii simu ninayotumia kuandika haya ni feki na nilijiandaa kufingiwa 2016 lakini Wataalamu wetu walishindwa.

Hii chip yangu pia sijaisajili Wala Sina mpango na nina imani kubwa kuwa tarehe 21 nitakuwa hapa nikisoma na kuchangia mada mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom