Laiti kama Ruto angeyafanya haya kabla ya maandamano ya gen Z angeimbwa kama shujaa wa Afrika. Afrika tunakwama wapi!?

Sidhani kama tatizo la tunao wapa dhamana ni chawa liko Kwao wenyewe Kwa kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kutumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao, a.k.a kujizima data
Unajua Benny chawa ndio chanzo cha kumfanya kiongozi awe comfortable katikati ya matatizo ya watu anaowaongoza chawa maadamu anapata mkate wake atakwambia hali ni shwari kabisa ndio maana haikushangaza ndugai aliposema nchi itapigwa mnada alishukiwa kama mwewe lakini jana nimemsikia mama akimwambia mwenda nimechoka kukopakopa
 
Soma kuhusu human herding, ostracism and self-absorbed group
 
zinafuatwa vizuri sana,
na impacts za royal tour hazina kifani kwenye sekta ya utalii....

Anuwan za makazi zimeleta mageuzi makubwa katika utambuzi wa mitaa na kufanya urahisi wa kufikika kirahisi ukiacha makusudi mahususi ambayo soon yatafikiwa πŸ’

Marekani?
ObamaCare iliishia wap alivyoingia Trump, Medicare ya Trump iliishia wap alivyoingia Biden?πŸ’

na kuhusu uhamiaji, utoaji mimba, ugaidi, climate change n.k ni zigzag kila anae ingia hiyo dira iko wap πŸ’
 
Alipoenda kinyume kwenye uchaguzi alibaki salama? kuhusu utalii nimezaliwa Arusha kwenye kitovu cha utalii, utalii uliyumba 2019-2021 sababu ya corona, leta takwimu za kuanzia 2018 kurudi nyuma na za 2021 mpaka leo tuone kama hiyo royal tour yenu imeongeza kitu chochote, acha uongo mkuu kawadanganye wajinga wengine.
 
Utawala uliofitinika viongozi wake hawashauriki.
Wanadharau raiya. Hadi wenye nchi wakicharuka inakua ameshanyolewa
 
sasa wewe unanirudisha nyuma kiasia hicho gentleman? πŸ’

si udeal na takwimu za utalii za mwaka jana ukilinganisha mpaka nusu ya mwaka huu tuliopo uone impact ya royal tour 🀣

ile kitu ina living impacts, tutanufaika na ongezeko la utalii kwa kiwango kikubwa sana aise πŸ’

hata hivyo,
kuzaliwa mahali sio issue, mie sijazaliwa Jimbo ninaliongoza lakini nakubalika na nalifahamu Jimbo vizuri zaidi ya waliozaliwa pale πŸ’
 
Mkuu tetea royal tour kwa takwimu na siyo hadithi na utapeli, serikali ikifanya vizuri nitakuwa wa kwanza kuja kuisifia lakini tusihalalishe wizi wa mali za umma kwa takwimu za kitapeli, hakuna anayetetea royal tour akaja na takwimi za 2018 kabla ya corona na 2021 baada ya corona kama vile watu wote ni wapumbavu, mahoteli mengi yalifungwa Arusha shauri na corona na siyo kukosa promo ya royal tour.
 
Haya yote Tanzania yalisha fanywa na Magufuli na ndiyo maana Wakenya hadi kesho wanamkubali Magufuli RIP!!
 
flow ya utalii unayoiona kote nchini hivi sasa ni matokeo ya royal tour...
Na tutainjoy impacts hizo chanya kadiri siku zinavyosonga bila kujali nani anasema nini kuhusu Royal tour πŸ’

hata hivyo kiwango cha watallii wanaoingia nchini kinaongezeka mara dufu kila mwaka ukilinganisha na miaka iliyopita,
aidha hamuwezi kujadiliana takwimu kisiasa πŸ’
 
Ni kweli. Waafrika wengi tusichojua ni kuwa hata Ulaya viongozi wao wanawajibika kwa sababu ya ukali wa wananchi wao. Kiongozi yoyote hasa hawa wa kisiasa hafawezi kufanya mambo bila kusukumwa. Inachosaidia Ulaya sasa hivi ni kwamba viongozi walisukumwa miaka ya nyuma na sasa hivi imeshakuwa kama ni utamaduni, wanajua wasipofanya vizuri wataondolewa. Kenya nao wameanza kujitambua na baada ya miaka kadhaa watapiga hatua.
 
Mkuu naomba nikuache naona nahangaika na UWT ambaye hajitambui, nimekwambia ulete takwimu za 2018-2015 na 2021-2024 una rukaruka tu kijinga badala ya kuja na takwimu, shida ya watanzania wengi ni wajiga na hawafanyi tafiti wala kujisomea wanamezeshwa tu na kuja kuimba ujinga, unaliganishaje takwimu za 2019-2021 wakati wa corona na 2021-2024 na sasa ambapo dunia imefunguka kama siyo ujinga na upumbavu.
 
pumzika bana walau utulize mihemko kidogo πŸ’

but for your information utalii umeongezeka sana nchini Tanzanian ikiwa ni miongoni na matokeo chanya ya royal tour πŸ’
 
Ebu elezea hayo mageuzi kidogo mazee
1. Ameondoa bajeti ya kununua magari mapya ya serikali mwaka huu na hii maana yake ni kwamba kumbe wana uwezo wa kutumia magari yaliyopo na maisha yakaenda.

2. Anafuta mashirika 47 ambayo hayana tija na kazi zake zinaweza kufanywa na wizara hii maana yake ni kwamba kumbe ni suala lilikuwa linawezekana ila kwa kukosa kupanua fikra halikufanyiwa kazi

3. Amefuta mishahara waliokuwa wametengewa wake wa viongozi yaani rais makamu wake na wengineo. Hii maana yake ni kwamba kumbe maisha ya wake zao yanaweza kwenda bila mishahara ya serikali.

4. Amepiga marufuku viongozi wa kiserikali kushiriki harambee. Hii maana yake ni kwamba kwenye hizi harambee walikuwa wanachangia hela za umma

Hayo ni kwa uchache tu yapo mengi labda wadau wanaoweza kutusaidia kuweka hiyo hotuba ya mheshimiwa hapa ili uipate kwa uhalisia
 
Ruto ni aina ya viongozi majambazi aina ya vibwengo mdundiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…